Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Kuwa na Bale na Cristiano team moja ni moja ya vitu vya kusikitisha sana duniani.
Kuwa na Bale na Cristiano team moja ni moja ya vitu vya kusikitisha sana duniani.
Uwezo wao ndio umefikia ukomo. Hawa ni kuuza tu wakiwa bado wana thamani.Hahahahahhaahah....me naona tatizo ni kuwa wanaotakiwa kuwaambia ukwel hawawaambii...maana mbona msimu ule walicheza vzr tu
Am still going for Neymar kwenye ballon d'or he deserve it asee na trust me Piere huu ndo mwisho wa CR7 na Messi kudorminate kwenye hizo awards
Mchezaji bora wa 2014/2015 Messi atabeba bila shida. Ila hii ya 2015/2016 itakuwa ni shida kwa hawa Messi na Ronaldo, ubaya wa Fifa wanawaangalia hawa watu kibiashara zaidi, kuna misimu ya nyuma alinyimwa Xavi na Sneidjer.Ila Messi anaweza akabeba tena sababu bado umri upo na kiwango chake bado kipo vilevile.
Msimu uliopita Messi ndo ulikuwa msimu mzuri kwa Messi kuwahi kutokea. Lazima abebe hiyo taji.Wakumpa andunje hiyo award hayupo ana kesi sa hivi...trust me award itaenda kwa Neymar hiyo january na ndo mwisho wa CR7 n Messi period