Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #12,261
Cadiz manager is not even watching the game right now, he's on phone collecting info. [Canal+]
usikute hata hujui tatizo nan??
u hate the man nothing more..... is he working alone?? man up dude
usikute hata hujui tatizo nan??
u hate the man nothing more..... is he working alone?? man up dude
Mkuu yeye ndio manager, mwenye maamuzi ya mwisho anatakiwa awe aware na taarifa za wachezaji wake wote hasa hawa waliotoka timu nyingine, anatakiwa kufuatilia taarifa zao toka walikotoka kabla haja announce na kuwapanga kwenye squard, hii ilishawahi tokea kipindi cha Moyes wakati anakuja utd, Luis nani alikua na red card ambayo aliipata kipindi cha SAF lakini kabla hajampanga katika kufuatilia taarifa ndio ikajulikana jamaa ana red ikabidi asipangwe,
Sasa Rafa alishindwa nini?