Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #11,661
James Rodriguez :
3 Games this season.
3 Goals.
1 assist.
Created Dozens of chances for the team.
​wazee tuacheni utani....binafsi game ya jana iliniumiza mbaya kabisa yaaan mbaya kabisa...ifikie mahali sasa kama ni mbinu za kocha zisemwe au kama ni ugoigoi wa wachezaji usemwe,maana jana kwa kwel hakuna tulichofanya...ni aibu kwa kweli
Poleni sana take it easy.......cc Paulo Sergio De Souz

Relax bro, ndio kwanza tumepoteza game ya kwanza ya msimu. Tena tumepoteza against Sevilla. Team ipewe muda.
​mtani haya mambo ni zamu kwa zamu......poleni sana take it easy.......cc paulo sergio de souz
Serigio Ramos could undergo surgery to his shoulder which will take him out for two months. He's been playing with a lot of pain from the last month, If he doesn't recover soon, his all season will be over [MARCA]