Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Uongo m'baya, tupo katika timu 3 bora kwenye soka kwa sasa.Sure, timu yetu sio ya kutisha sana lakini si ya kuibeza vile vile. They're trying so hard halafu wanajua kubadilisha mfumo wa uchezaji. Last season we made it 22 win in a row, lakini I was not impressed with the game we were playing. Nilikuwa nasema kila siku game sio za kufurahisha hizi, wachezaji kila mtu kivyake halafu tuliruhusu magoli kiurahisi sana na ndio ilikuwa sababu ya kukosa ubingwa.