Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #11,641
Sijajua kwani Rodriguez huwa haanzi kwangu mimi ni miongoni mwa mashine muhimu sana
Danilo
Pepe
Nacho leo wameharibu kabisaaa
Rambirambi za msiba wa Real Madrid tunatuma kupitia AC No. ipi na Bank gani?
Poleni sana wafiwa.
​wazee tuacheni utani....binafsi game ya jana iliniumiza mbaya kabisa yaaan mbaya kabisa...ifikie mahali sasa kama ni mbinu za kocha zisemwe au kama ni ugoigoi wa wachezaji usemwe,maana jana kwa kwel hakuna tulichofanya...ni aibu kwa kweli