Bunga Bunga
Senior Member
- Nov 20, 2013
- 122
- 52
Asee kikosi kinachotegemewa kuanza eb kiwekeni hapa asee leo wknd imeenda vizuri kabisa
Benítez: We have taken one point and dropped two"
Confirmed Karim Benzema will out for 2-3 weeks due to an injury....ndo maana huwa sipendi hizi international break
but nafikiri ilikua ni bahati mbaya tu maana katika kushangilia griezman ndio akamwendea vibaya mshikaji ikapelekea injury, na atakosa mechi mbili tu PSG na celta Vigo
#getwellsoon