Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

12108904_10150928868694953_3382677538126556035_n.jpg
12096620_10150928868809953_61826884240498897_n.jpg
10560297_10150928868784953_7443861099660543342_o.jpg
10277492_10150928867924953_427981320472138741_n.jpg
12108041_10150928867524953_8610470291217596628_n.jpg
12144688_10150928867629953_6794872605187325662_n.jpg
11223934_10150928867754953_1882118589466083001_o.jpg
12068985_10150928867654953_1542719684944360577_o.jpg
12080002_10150928867584953_7455500558859809072_o.jpg
 
Sijafanikiwa kuona kipindi cha kwanza ila cha pili hiki namuona isco anashangaa tu hapa
 
Catching a replay now. And the sleep is catching up with me. 20 minutes so far, not bad. Rafa is the right man.
 
Mkuu hakuna kilichochezwa jana Danilo na Isco walizingua sana asee hata hizo ni individual goals zote sio team kama team Ben10 amenikwaza sana jana na anaendelea kunipa wasiwasi
Nimeangalia first 60 kwa usingizi, sikuona cha kushtua. Marcelo combined with CR for the first goal, ile ni team. Danilo alikuwa rusty kiaina cuz ndio ametoka kwenye majeruhi.

Wapewe muda tu. Team iko ok. We imagine hakuna James, Modric, Ramos, na Benzo, ila tumeshinda kiulaini.

J5 finally nitaweza kucheki game live. Itakuwa kipimo kizuri sana.
 
Navas kwa sasa anamudu nafas yake beki s mbaya nikule mbele kuonyesha umakini subiri tucheki gemu na psg
 
Navas kwa sasa anamudu nafas yake beki s mbaya nikule mbele kuonyesha umakini subiri tucheki gemu na psg

Navas anachokifanya ndo nilichotaka watu wengi wakione na wajue kuwa tulikuwa hatuna haja ya DDG kabisa na pale mbele tunahitaji striker mwenye calibre ya Benz kama Aguero au Suarez hivi
 
Back
Top Bottom