Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1953-1964 ALFREDO DI STÉFANO 308 Goal tallies with Real Madrid 11 Seasons as a Whites' player 17 Titles won with Real Madrid
 
1971-1988 SANTILLANA CARLOS ALONSO GONZÁLEZ 290 Goal tallies with Real Madrid 17 Seasons as a Whites' player 16 Titles won with Real Madrid
 
1958-1967 PUSKASFERENC PUSKAS BIRO 242 Goal tallies with Real Madrid 9 Seasons as a Whites' player 10 Titles won with Real Madrid
 
1985-1992 HUGO SÁNCHEZ MÁRQUEZ208 Goal tallies with Real Madrid 7 Seasons as a Whites' player 10 Titles won with Real Madrid
 
Benítez: “I'm very satisfied because we won, kept a clean sheet and Cristiano broke the record”
 
LIGA BBVA 04-10-2015 - 20:30 Atlético MadridReal Madrid hawa watoto lazima tuwatie adabu maana huwa ndio wanatuharibia mipango sana hawa
 
LIGA BBVA 04-10-2015 - 20:30 Atlético MadridReal Madrid hawa watoto lazima tuwatie adabu maana huwa ndio wanatuharibia mipango sana hawa

Sio kirahisi mkuu maana hawa jamaa wamepigwa game 2 mfululizo af na bado tupo kwao..sema kurudi kwa Ramos,Danilo n James itaongeza nguvu sana
 
Nikiangali takwimu za hivi karibuni hawa jamaa wamepiga on target chache sana kuliko sisi na pia off target ila wameweza kuzitumia vizuri,tatizo tulikuwa tunafanya kwenye nmarking...I hope this time tutawashughulikia kwa sababu safu yetu ya ulinzi ipo imara sana...
 
Mkuu Bunga Bunga mimi nina kiburi sana na safu yetu ya ulinzi...yaan sasa hivi tuna nidhamu sana kwa hiyo tuna uhakika wakuwazuia kwa nidhamu lakufanya ni umakini wa kule mbele...
 
Last edited by a moderator:
Toka masiku yaliyopita system yangu inagoma kuupload picture ndio maana naleta maneno tupu......kama kuna mtu ambaye anajua kuupload picture kwa njia nyingine anijuze
 
CQT0DjEWoAA5HPJ.jpg:large
 
Mkuu Bunga Bunga mimi nina kiburi sana na safu yetu ya ulinzi...yaan sasa hivi tuna nidhamu sana kwa hiyo tuna uhakika wakuwazuia kwa nidhamu lakufanya ni umakini wa kule mbele...
mkuu hata mimi nyuma pananipa raha sasa hivi tuna mechi nyingi clean shit nadhani toka ligi ianze hatujaruhusu hata bao zaidi ya 5 kama sikosei hii ni Good news kwa beki zetu na kipa wetu up to now sijutii kumkosa De Gea na hata simtamani tena
 
Last edited by a moderator:
Leo tunampa mtu kipigo...huwa napata kiburi sana na safu yetu ya ulinzi msimu huu
 
Back
Top Bottom