Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #10,461
Some new rumors on De Bruyne to Real Madrid, Won't happen Real will never pay a fee of €60m for him. And he's probably off to Man City.
Real Madrid hakuna presha ya De Gea sasa hivi, dressing room wachezaji wote wanataka Navas akae golini. Ni United ya Van Gaal ndio inaleta hii drama yote, angekuwa Ferguson angemwita De Gea kumwambia nakuhitaji kwenye squad yangu, kama hataki angemruhusu aondoke bila kinyongo. Sema huyu muholanzi ni chicken head na ndio atawaharibia Manchester yenu United. Kuna mambo yanaendelea pale subiri mkianza kupoteza mwelekeo ndio mtamuona mbaya.
Kama uliangalia performance ya De Gea game na PSG ndio ungejua why amewekwa bench,LVG kasema De Gea atacheza kuanzia September Angekuwa SAF Perez angeitoa hiyo hela aliyoambiwa
Unataka afanyaje sasa,mnakasirika nini while atakuja kwenu free next seasonDe Gea will be training with Manchester United's reserve team until the transfer window ends on August 31. [bbc]
Pathetic and amateur act by LVG ! According to reports De Gea didn't even refused to play for United for the Aston Villa game tonight. All are fake quotes by LVG.
Unataka afanyaje sasa,mnakasirika nini while atakuja kwenu free next season
Kama uliangalia performance ya De Gea game na PSG ndio ungejua why amewekwa bench,LVG kasema De Gea atacheza kuanzia September Angekuwa SAF Perez angeitoa hiyo hela aliyoambiwa
Kwa sababu SAF ni nani labda??
LVG is being stubborn and stupid IMO (no offence). 25m kwa mchezaji anayemalizia msimu na kashaamua kuondoka ni mkwanja mzuri sana. Perez hawezi kutoa zaidi ya hapo cuz 1. hatuna njaa ya golikipa kwa sasa 2. Atakuja free msimu ujao. United mnajaribu kulipa machungu ya kuwakosa Cristiano, Bale na Ramos. Ila msisahau we are not a selling club, and you're not on our level.
Kama mmeamua kuwa ving'ang'anizi ni sawa. Endeleeni kumlipa mshahara mchezaji ambaye hawasaidii. Msimu ukiisha atakuja kwetu. You're the losers in this. You know this brother, ila naona umeamua kuukana uhalisia.
Manchester United sio kama Newcastle ukitaka mchezaji unaenda tu kumchukua unavyotaka
Hahaha mnajistukia tu. Mbona mlipitisha ka-ndege kenye flyer ya kumbembeleza Cristiano arudi, ila si tukachukulia poa tu? Anyway, nyie wadogo zetu, hii mambo tutaimaliza tu vizuri.
to be honest, hii ishu ya Dave Madrid sivo kama mlivotalajia, unakumbuka kasherehe flani am not sure in mchezaji gani alikua anatambulishwa watu wakaanza Kuimba de gea de gea pale Santiago, Leo hii mseme was nat priority, real????? nyie si mlimpa offer ya 5mill ili asisaini mkataba mpya aje for free next season (according to marca) hyo kama zawadi yake kwa kutosaini mkataba mpya baada ya kuona kumchukua saiz kwa hela mnayotaka nyie ni ngumu . dirisha bado lipo wazi de gea lolote linaweza kutokea and I still blive de gea anaweza kuondoka dis season. ila hii ishu Madrid imewatoa jasho huo ndio ukweli.
to be honest, hii ishu ya Dave Madrid sivo kama mlivotalajia, unakumbuka kasherehe flani am not sure in mchezaji gani alikua anatambulishwa watu wakaanza Kuimba de gea de gea pale Santiago, Leo hii mseme was nat priority, real????? nyie si mlimpa offer ya €5mill ili asisaini mkataba mpya aje for free next season (according to marca) hyo kama zawadi yake kwa kutosaini mkataba mpya baada ya kuona kumchukua saiz kwa hela mnayotaka nyie ni ngumu . dirisha bado lipo wazi de gea lolote linaweza kutokea and I still blive de gea anaweza kuondoka dis season. ila hii ishu Madrid imewatoa jasho huo ndio ukweli.