Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #10,441
This upcoming season will be Arbeloa's last at Real. [@Marca]
COPE | Benitez has other priorities and prefers to sign a forward or a midfielder with the 40m, instead of bringing De Gea this summer.
kubalini kuwa mmeshindwa kumchukua msimu huu inamaana de gea hakua priority?
Kumsaini De Gea haikua mashindano kama unavyomaanisha wewe. Real walitaka achukue nafasi ya Iker, na De Gea pamoja na agent wake wakakubali, sasa walichoshindwa Madrid ni nini? Madrid walikuwa tayari kulipa 25m Man U wakakataa walikuwa wanataka 40m. Sasa hivi wamepagawa wameshusha bei mpaka 18m lakini tunasubiri kumsaini bure next season. Anachofanya Van Gaal sasa hivi ni kumkomoa De Gea, eti asiposaini mkataba mpya atakaa benchi, hiyo sio professional kabisa.
Tatizo Perez alijua atamchukua kirahisi,huwezi kumuuza mchezaji wako bora kwa bei mnayotaka ,kama Bale alitoa hela ya kuvunja rekodi then mnaleta €25m .LVG amekuwa smart sana kwenye hiyo issue,Its better aondoke bure next season.Hajalazimishwa kusign mkataba,mlimuahidi na bonus kabisa akisubiri hadi mwakani
Kumsaini De Gea haikua mashindano kama unavyomaanisha wewe. Real walitaka achukue nafasi ya Iker, na De Gea pamoja na agent wake wakakubali, sasa walichoshindwa Madrid ni nini? Madrid walikuwa tayari kulipa 25m Man U wakakataa walikuwa wanataka 40m. Sasa hivi wamepagawa wameshusha bei mpaka 18m lakini tunasubiri kumsaini bure next season. Anachofanya Van Gaal sasa hivi ni kumkomoa De Gea, eti asiposaini mkataba mpya atakaa benchi, hiyo sio professional kabisa.
sio kweli kwamba asoposaini hatacheza hayo in maneno ya vijiweni, de gea akili yake haijatulia bado kulingana na rumours zinazoendelea, jana kaulizwa kama yupo tayari kucheza alisema hapana, van gaal ndio kasema ok its fine ataanza kucheza baada ya dirisha kufungwa, sept mosi. alafu hyo €18 ndio nakusikia wewe kwamba price yake imeshuka hivo. van gaal alisema Madrid watamchukua Dave kama watalipa reasonable price ambayo itavunja record ya kuwa goalkeeper ghali, labda kama hyo €18 mill itavunja record.
Carlo Ancelotti having a brilliant day while having fun with some fishes
Kuna siku huwa nalala napata nightmares kwamba jamaa bado ni coach wetu. Acha hizi mambo kabisa.