Madrid inacheza ovyo, naangalia mpira mwenyewe ila naskia aibu. Bayern watatupiga 5, na possession 88%. I need a break.
Yule jamaa kamlima Ramos nimecheka. Filimbi ya mapumziko ilishapulizwa, naona Ramos kahamaki
Kuna wakat nlisema tatizo la bale ni kuwa analazimisha ukubwa...kuwa mchezaji muhimu siyo lazima ufunge magoli ila jinsi unavyowarahisishia wenzako kazi utaonekana tu...aastist kama wenzake walivyokuwa wanafanya au alivyofanya msimu wa juzi mbona ataonekana tu ila hivi sasa ambavyo anataka kulazimisha kufunga nakukimbia hata pasipotakiwa anakuwa mzigo...
Anakimbia na mpira kama Usain Bolt, akija kunyanyua shingo asha overtake mpaka linesman, halafu anatoa cross pass kwa watazamaji. Jamaa ni overrated tu.