Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #10,201
Reports stating that Lucas Silva to Sporting Lisbon (On Loan) deal could be done in the next few days.
Kwa haraka haraka wadau...hii game kwa saa za kwetu ni saa ngapi?natanguliza shukran Salamander na paulo
Ulaya ni saa 12 na nusu, kwahiyo Afrika mashariki ni saa 1 na nusu. Wahi, bado robo saa game ianze.
Kwa haraka haraka wadau...hii game kwa saa za kwetu ni saa ngapi?natanguliza shukran Salamander na paulo
Yule jamaa kamlima Ramos nimecheka. Filimbi ya mapumziko ilishapulizwa, naona Ramos kahamaki
sio navumilia huyu jamaa kuwa nahodha wetu. Nimeikuta game kwenye last 20 ila sijaona Bale kwanini aendelee kuvaa uzi mweupe. Mpira wa kawaida sana tunacheza