Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Latest reports suggest that Benitez have asked for Juve's Llorente and Atletico's Mario Suarez! This will kill me, all this money in the club, but Llorente? Mario Suarez? Benitez ndugu yangu hii sio Napoli. You're in the best club in the world.

Relax mzee, hizo ni rumors tu. Utazisikia nyingi sana kipindi hiki. Ndio sababu mi nafikiria kuchukua likizo mitandaoni Copa America tu ikiisha, especially humu, ku-avoid hizi drama.
 
Relax mzee, hizo ni rumors tu. Utazisikia nyingi sana kipindi hiki. Ndio sababu mi nafikiria kuchukua likizo mitandaoni Copa America tu ikiisha, especially humu, ku-avoid hizi drama.

Lazima ufuatilie pre-season matches ( ziko 7). Real wanaingia kambini tarehe 10, after a week wanasafiri kwenda Australia.
 
Lazima ufuatilie pre-season matches ( ziko 7). Real wanaingia kambini tarehe 10, after a week wanasafiri kwenda Australia.

Ofcourse, sitakosa game hata moja. Nita-avoid tu habari za usajili, so JF nitaipotezea pia kwa muda coz siwezi kuacha kupita humu. Twitter wale viherere nishawa-mute mpaka nimalize hiyo likizo.
 
Mimi ni REAL MADRID ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
 
Ofcourse, sitakosa game hata moja. Nita-avoid tu habari za usajili, so JF nitaipotezea pia kwa muda coz siwezi kuacha kupita humu. Twitter wale viherere nishawa-mute mpaka nimalize hiyo likizo.

Kweli media zote sasa hivi zinaongea uongo. Wanaongea habari za kushtua na very interesting tittles lakini ukisoma vizuri source ni za kipuuzi tu. Media zote siku hizi zinatoa habari kwa mtindo wa udaku tu.
 
Official Announcement : Lucas Vazquez

11665374_1029027677121992_4046179375269960939_n.jpg
 
DANILO on Ramos and Casillas: "They're historic players at the club. They're extremely important for the club, whatever the situation. I'm not on the inside, so I don't know what's going on or what their situation is, but speaking from the outside and with all due respect, as a new Real Madrid player I'd like them to stay".

Cristiano: "He's the best player in the world right now. He has the FIFA award to show as much. If I had to vote, I'd vote for him".

James: "I played alongside him at Porto for two years and I knew back then that he was a great player. Some people thought he was overrated and he's proven that he's not. He's one of Real Madrid's best signings of recent years".
 
Danilo will most likely be presented on Wednesday or Thursday next week.
 
Official Announcement : Lucas Vazquez

11665374_1029027677121992_4046179375269960939_n.jpg
I think that he did fine at espanyol but I didn't follow
Espanyol too much.My doubts are about
Jesé who will have even more competence
for that
position.Cris,Bale,Karim,Isco,Jesé,Lucas
Vazquez,James,maybe Odegaard +a striker
(As wrote about Llorente,hopefully
not),too many players for 4
positions,considering a 4-2-3-1 with
Modric and Kroos in the middle
 
Madrid nitashangaa kumpeleka Ramos EPL, Ramos ni mspain na ni mtu wa muhimu sana ndani ya Madrid na Spain inakuwaje aachiwe aondoke hapo. Mtaurudisha ule ufalme wa Barca kama zamani, yaani anabeba kombe bado mechi 8 mkononi. Tunataka ushindani mzito pale BBVA.
 
uko sahihi mkuu
 
I think that he did fine at espanyol but I didn't follow
Espanyol too much.My doubts are about
Jesé who will have even more competence
for that
position.Cris,Bale,Karim,Isco,Jesé,Lucas
Vazquez,James,maybe Odegaard +a striker
(As wrote about Llorente,hopefully
not),too many players for 4
positions,considering a 4-2-3-1 with
Modric and Kroos in the middle

Ningekuwa Jése ningetafuta mkataba wenye akili ni-move, kung'ang'ania Bernabeu first IX ataiona ndotoni tu usiku akilala. Amuoni mwenzie Morata, yeye sasa hivi kila siku anapost picha tu kwenye social media kuonyesha kwamba anajifua sana, anafikiri mikwara yake ya kujipiga selfie gym ndio atapata namba.
 
Back
Top Bottom