Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
mkuu tutake radhi
MkuuMama ako
mkuu tutake radhi
Kuchezea Madrid ni tittle tosha kabisa, ila ana bahati mbaya kila akipost pic most of the fans wana mdisiNingekuwa Jése ningetafuta mkataba wenye akili ni-move, kung'ang'ania Bernabeu first IX ataiona ndotoni tu usiku akilala. Amuoni mwenzie Morata, yeye sasa hivi kila siku anapost picha tu kwenye social media kuonyesha kwamba anajifua sana, anafikiri mikwara yake ya kujipiga selfie gym ndio atapata namba.
Tunapenda Madrid yenye upinzani but nina mixed feelings na huyu Benetez,kweli chama hii ataiweza??Madrid nitashangaa kumpeleka Ramos EPL, Ramos ni mspain na ni mtu wa muhimu sana ndani ya Madrid na Spain inakuwaje aachiwe aondoke hapo. Mtaurudisha ule ufalme wa Barca kama zamani, yaani anabeba kombe bado mechi 8 mkononi. Tunataka ushindani mzito pale BBVA.
Tunapenda Madrid yenye upinzani but nina mixed feelings na huyu Benetez,kweli chama hii ataiweza??
maadam Messi,neymar na suarez wapo hakuna wasiwasi-Barca will defend from the front-always outscoring the oppositionMimi naona upinzani unaondoka pale Spain, kuondoka kwa Ramos kunaweza icost ile timu. Labda wamtimue Pepe ila sio Ramos, na ndani msimu huu Barca anaweza atakuja kufanya usajili mmoja matata sana. Barca inapiga kasi kubwa ktk kutengeneza timu ila Madrid utengenezaji wao wa timu sijui unaendaje, Ramos sio mtu wa kuondoka kwa wakati, tena anaenda Man U. Pumbavu kabisa!
Medran has joined Getafe on loan for 1 season. They are also interested in Ødegaard. ‪#‎BestOfLuck
![]()