Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Issue ya contract hata De Gea ana mkataba na United lakini tunasikia kila siku kuwa ameshakubaliana na Madrid

Hii story imeenea leo kwenye vyombo vya habari vya Spain,wanasema agent wake (kaka yake Ramos) anawatumia huyo jamaa ili Madrid wamuongezee mshahara.Kumbuka Ramos amekataa offer aliyopewa na Perez kuongeza mkataba

Angalia na source yenyewe man, is it reliable?? Hell no. Kungekuwa na upuuzi kama huo, Marca na As wangekuwa washaisema kitambo na Ramos anafunga safari by now, huwezi kuwa katika hizi clubs 2 halafu utingishe kiberiti kupitia club moja wapo na wakulambe, sio Madrid. Simply hao wanatumika kuleta migogoro Madrid, we all know who they support.
 
Issue ya contract hata De Gea ana mkataba na United lakini tunasikia kila siku kuwa ameshakubaliana na Madrid

Hii story imeenea leo kwenye vyombo vya habari vya Spain,wanasema agent wake (kaka yake Ramos) anawatumia huyo jamaa ili Madrid wamuongezee mshahara.Kumbuka Ramos amekataa offer aliyopewa na Perez kuongeza mkataba

Belo what's going on with you? Yaani hiyo ndio source ya habari yako? Halafu usifananishe maneno yako na issue ya De Gea, Barcelona will be the last club Ramos could join, bora hata umuhusishe na Sevilla kuliko kwenda kujivua nguo Catalunya. Kinachofanyika pale ni makubaliano na wala si kumbembeleza mtu kuna wachezaji kibao wabeba madaruga yao wameondoka itakuwa Ramos, hutaki kusaini unaambiwa ADIOS, kuna wachezaji wanaitaka ile nafasi wewe.
 
@ElPartododelas12 | The contract renewal talks between Florentino Perez and Ramos have broken down.

- Perez is offering him €7m/year but Ramos wants €10m/year.
 
Mother of co-incidence. [
Credits: Man-News.com]

10153065_1021806794510747_6214598438889760067_n.jpg
 
Marca | Cristiano Ronaldo and Karim Benzema are Real Madrid's two longest-serving 'galácticos'.

-Ronaldo and Benzema are heading towards their seventh season at the Bernabéu, quite a feat for a 'galáctico'.

10154322_1021807181177375_2245284261648635964_n.jpg
 
Rivers was on a roll with them 3s vs the Turks in the Euroleague. Another performance like that and we take Endesa home too.
CGM9brLWYAEKSvg.jpg
 
Back
Top Bottom