pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,285
- 3,847
Ukiangalia comments zangu kipindi kile hatujacheza na juve 2nd leg nlisema kama carlo ana akili basi atubadilishie aina ya uchezaji,juve ukisema uwafunge kutumia wingers lazima utachemka tu,maana kwa kucheza mipira ya cross wako vizuri sana na beki zao ni ndefu...nlitabiri kuwa barca watatumia viungo wao wa kati kumaliza game kiulaini kabisa,kwa sababu juve katikati kupenyeza mipira siyo wazuri hata kidogo..ila sasa yule muitaly alikariri nafikiri akawapa ujiko juve kiulaini kabisa..pumbavu zake sana...Acha tu, unafiki pembeni hii game nimeshindwa kuendelea kuiangalia. Barça wanatufundisha namna ya kucheza na Juve and it's painful to watch.
Ukiangalia comments zangu kipindi kile hatujacheza na juve 2nd leg nlisema kama carlo ana akili basi atubadilishie aina ya uchezaji,juve ukisema uwafunge kutumia wingers lazima utachemka tu,maana kwa kucheza mipira ya cross wako vizuri sana na beki zao ni ndefu...nlitabiri kuwa barca watatumia viungo wao wa kati kumaliza game kiulaini kabisa,kwa sababu juve katikati kupenyeza mipira siyo wazuri hata kidogo..ila sasa yule muitaly alikariri nafikiri akawapa ujiko juve kiulaini kabisa..pumbavu zake sana...
Hahahhahahahhhah..unajua yule jamaa sijui alikuwa anawaza nini yule,yaan nafikiri alikuwa nawaza kuvuta sigara sana...ila ninaona hasira sana katika nyuso za wachezaji msimu ujao hakyanani watapigwa watu,ule upande wa pili huwa wakishinda huwa wanaimba kabisa matusi na kashfa dhidi yetu na huwa wanapenda sana kulinganisha wachezaji wetu dhidi ya wachezaji wao,ninaendelea kuamini huwa wanatuogopa sana....Acha tu mzee, bado nina machungu sana na yule Jamaa. Katufanya tuonekane vituko.
Piqué: "Thank you Kevin Roldán (singer who
leaked Cristiano's birthday party photos) It
all started with you." [AS]
Typical Cules.
ule upande wa pili huwa wakishinda huwa wanaimba kabisa matusi na kashfa dhidi yetu na huwa wanapenda sana kulinganisha wachezaji wetu dhidi ya wachezaji wao,ninaendelea kuamini huwa wanatuogopa sana....
Offensive comments dhidi ya Real na Ronaldo ndio trend in media right now. Sijui anajisikia ujiko au vipi. He can't be a sportsman on that way. Kuna vitu vingine awaachie mashabiki tu. Kaonyesha jinsi gani siyo mature. Sergio Ramos could not say shit about Barca or Neymar on that way...Very sad.
Hao Jamaa hata si wa kuwashangaa, ni sawa na mwanamke asiyestaarabika anayekupenda ila hauna muda nae kabisa. Lazima atajaribu mbinu zote ili utambue uwepo wake, si mara ya kwanza wao kufanya hivyo, wala haitakuwa ya mwisho.
We angalia hata baadhi ya washabiki wao humu wanavyotukubali kiaina. Ndio gharama ya kuwa Club kubwa na yenye mafanikio zaidi duniani. Cha msingi ni kuendelea kuwapuuza kila wanapotuchokoza.
Ukiangalia comments zangu kipindi kile hatujacheza na juve 2nd leg nlisema kama carlo ana akili basi atubadilishie aina ya uchezaji,juve ukisema uwafunge kutumia wingers lazima utachemka tu,maana kwa kucheza mipira ya cross wako vizuri sana na beki zao ni ndefu...nlitabiri kuwa barca watatumia viungo wao wa kati kumaliza game kiulaini kabisa,kwa sababu juve katikati kupenyeza mipira siyo wazuri hata kidogo..ila sasa yule muitaly alikariri nafikiri akawapa ujiko juve kiulaini kabisa..pumbavu zake sana...
Real Madrid ni vibonde wa Juventus kabla hata Anceloti hajatua Madrid ,mmeasahau kina Del Pierro na Nedved walivyokuwa wanawafunga
Pique is a joke. Spanish team wanarudi South Africa 2010, mi nilikuwa Madrid, kwenye Celebracion Pepe Reyna yuko na microphone akasema Pique anataka kuongea kwa catalan, akajificha nyuma. Alimpatia sana. Ni sawa na Guadiola, mtu uko na kila kitu, lakini bado unakubali kutumika kisiasa, ni umbumbu.
FT: Norway 0-0 Sweden
Martin Ødegaard played the full 90 minutes & performed very well.
I haven't watched this kid play yet, and i don't believe in Youtube. I hope he's worth all the hypes.