noel robart
Member
- Jun 4, 2015
- 75
- 23
Uyo odeegard ni mzur ila bado kiingia kwnye 1st 11
mkuu punguza jazba ss ndio wanaume zenu
Lawama kwa Carlo zimekuwa too much,ni ngumu sana kwa hii Real Madrid ya sasa mchezaji kutoka Madrid academy akaingia kwenye first team kirahisi.Ukiacha Casilas na Raul sidhani kama mchezaji aliyeweza hata huyo Carvajal,Casemiro walipelekwa kwa mkopo kukawa na option ya kuwarudisha.Sometimes hawa big players wanaleta negative impact kwa wachezaji toka academy
You're the reason I'll never ever agree with the gay rights.
Real Madrid won its 5th UCL in 1960.
#APorLaUnDecima ndio mission sasa.
I can't wait for the pre-season. Nafikiri hii ya mwaka huu tutafanya vizuri.
Yup yup! Tukianza pre-season ndio muda wa kukaa mbali na habari zozote za soka, especially mitandaoni. The madness is real during that time, rumors and bs all around. Ntakuwa naangalia tu official announcements.
Hii ndio ile umepigwa bonge ya sucker-punch ukazimika, unaamka unakuta dogo kashamtuliza jamaa. Congrats Barça, tukutane August.