Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hongera kwa ushindi mtani. Ila ukicheza hivi na wale wahuni wa Catalan, utapigwa kama paka aliekunya kwenye debe la unga.

Kwa mpira wa sasa, ukikaa nyuma kusubiri ushambulie kwa counter, watu wanakuweka hukohuko.

Big up kwa Vini, jana amecheza mpira wa kiutuuzima sana. Ameteack-back, ame intercept, amerecover, na kutengeneza nafasi za kutosha. Shida ni ubinafsi wa Mobutu.

Nawasubiri Classico.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…