Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Huyo lous Figo anaemsifia Sasa Kwenye world cup ana goli ngapi? Hao kina zidane wote hawakafika idadi ya goli alizofunga Kwa mkupuo mmoja Kwenye world cup.Ila mimi hua nashangaa sana nyie mnaosema mchezaji fulani siyo wa kucheza Real Madrid. Hao wachezaji wenye hadhi ya kucheza Real Madrid wako wapi? Nitajie walau watano tu.
Embu nitajie ni kiungo gani mwenye goli nyingi kwenye haya mashindano yanayoendelea kuzidi Jude.
Tusiishi kwa kukariri Jude ni aina ya viungo ambao wanapenda kucheza ndani ya box wanapopata open space.
NB: Hakikisha unanitajia wachezaji watano tu wenye hadhi ya kucheza Real Madrid.
Ndio mpambane kuwatafuta au kuwazalisha kwani hao wachezaji waliibuka tu kama uyoga !?Yupo wapi sasaivi mchezaji anacheza kama Figo, zidane, Ronaldo de Lima au Cr7?
MPIRA imebadilika mkuu Kuna vitu na sisi lazima tubadilishe hasa namna ya kuwatazama Wachezaji.
Sio kuwalinganisha na WA zamani tu.
Walikuzwa na Madrid?Ndio mpambane kuwatafuta au kuwazalisha kwani hao wachezaji waliibuka tu kama uyoga !?
Wee jamaa mchezaji hatazamwi Kwa mabao tu pekeeHuyo lous Figo anaemsifia Sasa Kwenye world cup ana goli ngapi? Hao kina zidane wote hawakafika idadi ya goli alizofunga Kwa mkupuo mmoja Kwenye world cup.
Sasa na sisi tukariri kama yeye tumsifie Jude kua ni mnoma kuliko wale wote?
Ndomana nawaambia watu mpira umebadilka na sisi lazima tubadilishe mitazamo yetu hasa Kwenye kulinganisha Wachezaji wa Sasa na WA zamani.
Hamna academy!?Walikuzwa na Madrid?
Lengo la kuingia uwanjani kucheza kiungo mshambukiaji ni lipi?Wee jamaa mchezaji hatazamwi Kwa mabao tu pekee
Hii mentality ya mchezaji Bora kutazamwa Kwa magoli mmeitoa wapi !?
Hao uliowataja walitoka academy?Hamna academy!?
Na bapa ndipo wengi wanapokwama na huku ni kuukosea heshima mpira wa miguu.Huyo lous Figo anaemsifia Sasa Kwenye world cup ana goli ngapi? Hao kina zidane wote hawakafika idadi ya goli alizofunga Kwa mkupuo mmoja Kwenye world cup.
Sasa na sisi tukariri kama yeye tumsifie Jude kua ni mnoma kuliko wale wote?
Ndomana nawaambia watu mpira umebadilka na sisi lazima tubadilishe mitazamo yetu hasa Kwenye kulinganisha Wachezaji wa Sasa na WA zamani.
We jamaa huenda unashida kwenye kuelewa aina za wachezaji na hali ya uchezaji wao.Wee jamaa mchezaji hatazamwi Kwa mabao tu pekee
Hii mentality ya mchezaji Bora kutazamwa Kwa magoli mmeitoa wapi !?
Jude ni mchezaji mzuri but to me in my pOV sio mchezaji wa level ya real Madrid Jude ni mchezaji wa kawaida Tena sana
Yaani kutoka kuwa na mchezaji kama Luis Figo zidane Ronaldo delima To cr7 bale benzema to Jude Bellingham he's overrated
Ila mimi hua nashangaa sana nyie mnaosema mchezaji fulani siyo wa kucheza Real Madrid. Hao wachezaji wenye hadhi ya kucheza Real Madrid wako wapi? Nitajie walau watano tu.
Embu nitajie ni kiungo gani mwenye goli nyingi kwenye haya mashindano yanayoendelea kuzidi Jude.
Tusiishi kwa kukariri Jude ni aina ya viungo ambao wanapenda kucheza ndani ya box wanapopata open space.
NB: Hakikisha unanitajia wachezaji watano tu wenye hadhi ya kucheza Real Madrid.
Ni jukumu la kocha kujua mchezaji wake anafit vizuri kwenye nafasi ipi kulingana na aina ya uchezaji wake ili aweze kuwa na faida zaidi.Kazi ya kiungo sio kufunga goli bali ni kutengeneza nafasi za goli. Olise amemaliza world cup na assist 7, Jude amemaliza na 1.
Kwani tayari kashamwaga wino?Sajili za sasa hivi haloo, husikii tetesi mara vuu tumemsajili mtu, huyo kijana wa Ivory Cost hata sikuwahi kumdhania, sie yetu ni support tu
Bado!! Sasa sijui ni kweli Perez anataka kumsajili ama anataka kumtishia Vinicius!? Acha tuone itakavyoenda, maana wanadai kuwa kijana ameshakubaliana na Real Madrid, so hapo imebaki Madrid kuweka offer yake mezani.Kwani tayari kashamwaga wino?
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba bado mazungumzo ya club kwa club ila offer iliyowekwa ni 100.Bado!! Sasa sijui ni kweli Perez anataka kumsajili ama anataka kumtishia Vinicius!? Acha tuone itakavyoenda, maana wanadai kuwa kijana ameshakubaliana na Real Madrid, so hapo imebaki Madrid kuweka offer yake mezani.