Mechi ngumu hii Mkuu halafu tumeandamwa na pancha za wachezaji wetu muhimu
Duh!watu washanusa matokeo...ni fedhea tupu.
Hii mechi ya leo ili moyo usiume wala kupata hasira,nikutulia nakuangalia game huku ukijua leo tunapokea kipigo na tukishinda basi ni supprise kubwa kabisa...hii mechi hata kama mtu una usingizi mzito ni bora ulale tu😀😀😀...huu mwaka ni tunasindikiza watu kwenye mashindano.Mechi ngumu hii Mkuu halafu tumeandamwa na pancha za wachezaji wetu muhimu
Na kufuatia recently games tume underpeform, ni kama morale ya mashabiki iko chini.
Man City awamu hii kupitia changamoto yetu ya pancha, watacheza jihad kuhakikisha wanalipa kisasi cha mwaka jana.
Hahaha wa 🔥 mno, sema guardiola ni mafia kipindi cha pili tuwe makini.Nani mwingine ambaye amegundua Mbappe leo kaingia akiwa amevaa kinyago cha Valvede?
Kwa saizi waimarishe tu safu ya ulinzi ili kuhakikisha City hawapati goli.Hahaha wa 🔥 mno, sema guardiola ni mafia kipindi cha pili tuwe makini.
Muhimu hilo, maana city ana cherki na phoden kwenye benchi.Kwa saizi waimarishe tu safu ya ulinzi ili kuhakikisha City hawapati goli.
Ushindi wa goli 3 ni mkubwa sana na unatoa mwangaza wa hatua ya mbele tunayoielekea.
Cherki needed to start if City was deliberateMuhimu hilo, maana city ana cherki na phoden kwenye benchi.