Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii timu yetu hapa mbele Vin na Mbappe lazima kocha afanye maamuzi magumu...hii timu haina balance na huku mbele hakuna mawasiliano mazuri.
 
Nashindwa kumuelewa Xabi alonso anafikiria nini kumuanzisha Brahim diaz na kumuacha Rodrigo nje
 
Here we go, pressure inapanda inashuka. Alonso ana kibarua kigumu sana
 
Hii timu jana imeninyima millio 4🥹🥹 imeshindwa kabisa kupata goli 2💔 shame
 
sioni hii timu ikitoboa kwa Barca huu msimu, itakua ni aibu kukosa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.
 
sioni hii timu ikitoboa kwa Barca huu msimu, itakua ni aibu kukosa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.
Nyuma haiko vizuri bado.

Bado wanaitaji mabeki hasa wa kati wazuri zaidi.
Ikiwemo kiungo mkabaji.
Hansi anabaati amekuja kipindi real Madrid haiko fresh.
 
Mabeki ni shida sana kwenye hii timu.
Wamesajili but still bado .
Wakikutana na team yenye washambulaiji imara ni rahisi kupoteza mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…