Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huwa nakataa mtu anayesema Tchouameni kiungo wa kawaida tatizo la Madrid ni namba 8 na 10 , mfano Bellingham ni more a runner kuliko play maker na kingine Valverde ni average player anayelindwa na moment za kufunga kwa uwezo wake kushoot
 
Ukweli mtupu, ila unaweza kuishia kutukanwa. Tatizo la madrid katikati Ni Jude na Valverde.
 
Sio uchovu nyie Madrid hamna viungo kbsa, Visca El Club du Barca
 
Mbuzi weupe hamuwez hata kupossess ,oooh nyie nyau kwel😂🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣TRENT mmepigwa kenge nyie nawachukia mno akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Mi nilikuwa najiuliza siku nyingi sana hivi huyu Trent anahakika kama Los Blancos watamvumilia weakness zake za kiulinzi kama tulivyomvumilia sisi. aya mwanakulifind mwanakuliget the future is exciting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…