Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hata kama mimi ndio ningekua kocha wa arsenal. nisingelitolewa na hii madrid.

Yaani wachezaji wa madrid wanajaa 6 kwenye box la mpinzani harafu mpira haukai humo unapita jujuu tu!!.

Timu haina muunganiko tangu msimu unaanza inamaana kocha hua anafanya nini mazoezini?

Madrid wanatabirika kirahisi, wanakabika kirahisi daah kiufupi Mzee Don carlo inatosha hii timu inahitaji kocha mpya.

Hata kama atakaua sio fundibsana ila naamini wachezaji watajiyuma zaidi.
 
Naona leo tumevamiwa aisee, uwanja wenu huu kumaliza hasira zenu.

We're Madridistas, Hala Madrid!
Acha wamalize hasira zao zimewajaa vifuani mwao miaka nenda rudi,huwezi kuwa na mafanikio mara dufu ya wao tena combined halafu ukaungwa mkono,they know sisi ndio vizingiti kwao,so kututoa huwa ni zaidi ya sherehe kwao...ndio maana unaona penalt waliopata wao,the same scenario ndio hiyo tulionyimwa sisi ila hakuna anayeiongelea hilo,this is because "We are Real Madrid"..
 
Pole mkuu
 
Duh!, aisee huyu vinicius hayupo serious kabisa. Half Time badala ya kwenda kumsikiliza kocha ye ndo kwanza yupo mitaani anacheza cheza na grealish na leah williamson kwenye tangazo la pepsi
Hahaha 😁🤣 hahaha 😁🤣
 
nimekukubali sana hapo ulipomjumuisha na Camavinga, dogo ni mchezaji wa kawaida sana, anaimbwa lakin sio level za madrid ila bado kuna viazi hawataki kukubali, madrid ni ufundi mguuni + kazi sio lele mama kama Tchouameni
 
sawa tufanye mumepewa penalty yenu na mumeshafung. Haya ngapi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…