katika long ball ambapo wings ndo wanakuwa danger , saka anaweza kuzuiwa na watu wenye mbio , combination ya Garcia na ascensio ingefanya kazi na sio mzee alaba , sana sana atakuwa anamsindikiza tuu mpak kwenye box au kumfanyia faulo
weakness kubwa ya Garcia ni kwenye defense, Dogo mda mwingi sana anakuwa yupo out of position, ni hatari sana kwa mechi zenye winger zenye kasi. na pia accurate yake kwenye attack sio nzuri kabisa. ALaba bado ana uwezo wa kupiga cross zinazoeleweka.
Kiukweli huu ni mwanzo wa mwisho wa enzi. Sioni kama kuna maajabu Madrid inaweza fanya katika hii nusu iliyobaki na hata kumalizia msimu tunatoka kapa hapa.
Duh!, aisee huyu vinicius hayupo serious kabisa. Half Time badala ya kwenda kumsikiliza kocha ye ndo kwanza yupo mitaani anacheza cheza na grealish na leah williamson kwenye tangazo la pepsi
Ukiachana na babu Carlo kuna kitu cha ziada hawa kina Vini, Mbappe, Rodrygo, Jude wanaweza fanya na kocha mwingine na labda tuseme ni kocha gani anaweza kufaa Madrid hii yenye pancha nyingi