Kesho tunahitaji 2000%+ ya wachezaji wetu kujitoa,kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho with high accuracy katika kila matukio,ninaona ona Alaba anapigiwa chapuo aanze kushoto,but for me ninapendekeza aanze Fran Garcia mbele ya Alaba,kwa sababu Fran Garcia ana kasi yakupanda mbele nakurudi kwa haraka sana..na kingine kesho hatutaki abiria ndani mule,habar ya watu wanapoteza mpira wanatembea siyo,yaan mechi ya kesho ndio tutajua watu wakuendelea nao msimu ujao au kuacha,siyo unakuwa na wachezaji wengi vijana ila average players...ukiangalia hata ile first leg siyo kuwa tulizidiwa sanaaa technicaly,hapana...kwa sababu goals tumefungwa ni mipira iliyokufa ambayo ukiangalia vizuri ni makosa ya kipa kupanga ukuta wake na yeye kujipanga,goal la tatu ndio ambalo tumefungwa kiufundi na hapo ni kwa sababu beki wanategeana,hakuna anayeongoza wenzake pale nyuma..kule mbele ni kama kila mtu alivyotoka nyumban alikuwa amedhamiria lazima afunge,uchoyo kuanzia mwanzo hadi mwisho.