Arsenal hii hii unayoiona mbovu inaweza kukushangaza.Arsenal ipi? kua serious basi
Na ndio maana valencia walipigwa 7 naHT: Kwa uchezaji huu hata tucheze dakika 1000 hatupati goal,timu inacheza very slow...wakat wakwenda kupiga counter badala yakufocus na goal,ndio kwanzaa timu inatanua kutegemea kupiga cross wakat hawa jamaa hapa nyuma ni warefu wote.
Kama kawaida beki zetu za kati zinategeana kwenye kuokoa mipira ya kona.
Babu Modric anapiga back&side passes nyingi mno,hawa jamaa wa beki zao za kati zinakuwa zimerelax mnoo,hii game kama tungecheza kwa speed kubwa ya mtafute mtafute tungeshinda kipindi hiki hiki cha kwanza,kwa sababu sababu beki zao pia zinajikoroga.
Vin Jr kwenye game za Valencia hatakiwi kupiga hata faulo ndogo kwa sababu ana ugomvi nao wa miaka yote ambapo huwa hafocus na anachokifanya rather anawaza kwenda kushangilia kuwaumiza washabiki wa Valencia.
Mkuu always Madrid hawana ujanja kwa Valencia kila timu na mbabe wakeArsenal hii hii unayoiona mbovu inaweza kukushangaza.
Kama Madrid imefungwa nyumbani na timu ambayo ilikuwa karibu na relegation zone unaweza kupuuza facts ya uwezekano wa kufungwa na Arsenal?
Ni kweli ila haitotiea Arsenal amtoe MadridArsenal hii hii unayoiona mbovu inaweza kukushangaza.
Kama Madrid imefungwa nyumbani na timu ambayo ilikuwa karibu na relegation zone unaweza kupuuza facts ya uwezekano wa kufungwa na Arsenal?
Mi mwenyewe Arsenal sijawahi kuikubali ila kwa performance ya leo Arteta anaweza kutushangazaNi kweli ila haitotiea Arsenal amtoe Madrid
Valencia always wanatupa tabu fuatilia head to head utaona hicho kituMi mwenyewe Arsenal sijawahi kuikubali ila kwa performance ya leo Arteta anaweza kutushangaza
mapema sana kabla umande haujakaukaWakienda na Mentality kama ya mchezo wa leo! Raphina anawaweka hat trick mapema sana
Kenge wakubwa nyie safi sana eti mchukue laliga forwad Endrick
Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm
Usijipe matumaini mtani, you'll be disappointed!Hli kombe ni kama kila mtu halitaki, ngoja tuone
Ceballos mchezaji wa kawaida madrid haitakiwi kuwaza mchezaji kama huyoinjury ya Ceballos ilimaliza msimu wa timu
Msimu huu kwa huo mwenendo wenu msitarajie miracles na hopes zozote za kuchukua UEFA....arsenal tunamuondoa robo fainali kwa sababu tatu sababu ya kwanza arsenal hawezi kutufunga zaidi ya goli tatu akijitaidi sana ni goli mbili na pia mechi za hivi karibuni amekua akiruhusu sana magoli cha pili real madrid tuunauwezo mkubwa sana wa ku funga magoli ni ngumu sana kuwazuia hawa watu wanne kukufunga goli vin,rodrygo,mbappe,belligam na diaz msimu huu ata game nyingi tulizopoteza bado tulikua tunaowezo wa kufunga goli ata kama ni moja au mbili pamoja na kwamba tunashida kubwa ya kiulizi msimu huu ila naamini arsenal shughuliake imeisha na shughuli yote inaenda kuishia benarbeue
Ceballos mchezaji wa kawaida madrid haitakiwi kuwaza mchezaji kama huyo