Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,558
- 2,603
Broo nimesema kwa Real Madrid vini hajawahi kukosa penalties ila hii ndio ya kwanza.Angalia record zako vizuri
Mmeshinda kwa penalty ila mtalala na viatu leo
Mama yake ni MkongoAnalalamika kama watanzania asee
Penalties za Atletco Madrid jana sijaona ambayo Lunin angeishika pale.Kama itawezekana siku tunakumbana na kadhia kama ya leo ya kwenda matuta, Ancelloti afanye kama Van Gaal tu, anamwigiza Lunin kwa ajili ya hiyo kazi., maana yule dogo hawezi kukuacha kwenye penalti 4 zote.
Rais wa villareal alisema anaombea game yetu wa Jana twende dakika 120 ili ikifika zamu yao waxhezaji wawe wamechoka.Kituo kinachofuata ni Arsenal , tunaanzia kwao kisha kwetu, ila kwasasa tunarudi kwanza La liga maana na huku kuna kibarua kigumu, tupo na manyambizi wa manjano week hii, huku Barca akipepetana na Atletico., game muhimu sana hizi kwenye mbio za Ubingwa wa Ligi.
Wazungu mpira ni utamaduni wao wanajua mengi na wamewekeza kila kituIla wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.
Bongo 80% wachezaji hawajui sheria zote 17 za mpira na kanuni zake.Ila wenzetu uelewa wao wa mpira upo juu sana, imagine Bellingham na wenzie walikuwa wanalalamika kuwa Alvarez aliugusa mpira mara mbili kabla hata VAR haijapitia ile penalti, Bongo ile ingehesabiwa bila shida yoyote., na sio ajabu usingeona mchezaji yeyote akilalamika.
Sawa mkuu.Magoli ya penalty nje ya dakika 90 huwa hawaweki GIF zake
Kabisa mkuu zilikuwa penalties za akili sana.Penalties za Atletco Madrid jana sijaona ambayo Lunin angeishika pale.
Hata mimi niliyekuwa kibanda umiza sura ya endrick haikunishawishi kabisa kupiga penati.Carlo Ancelotti: "Endrick alitakiwa kupiga penati ya mwisho (penati ya tano). Lakini pindi nilipomuangalia Endrick usoni, tuliamua kumchagua Rudiger kwa sababu Endrick alionyesha hali yakutojiamini."
Inaonekana Dogo ni fundi sana wa penalty huko mazoezini, ila mzee baada ya kumsoma machale yakamcheza akampa rudiger mzee wa butua butua.
Sometimes hauhitaji wajuzi tu ili kukupa ushindi unahitaji watu majasiri.
Oooh I see you are the man city guy hahaha..when you hear Los Blanco's unaumia sanaHii timu bana