Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Hat trick ya kwanza kwa Mbappe
Mbona walianza wawili tu, kiungo martin na beki javi SanchezUnajua hii Valladolid full squad ni former Real Madrid Castilla's players. Yaani leo tumecheza na kikosi chetu cha Academy
Ndo tunaongoza ligi maiti zote zinafata nyuma.Mmepiga Mabomu mochware
kuna wale waliokuwa wanataka Mbappe aekwe bench wako wapi?
Kwani mchezaji kuanzia benchi hua kuna sababu zipi?kuna wale waliokuwa wanataka Mbappe aekwe bench wako wapi?
Kwani mchezaji kuanzia benchi hua kuna sababu zipi?
Ukitoa zile za chuki binafsi baina ya kocha na mchezaji.... Nitajie walau 3.
Harafu turudi kujuzana na wale waliosema Bellingham ni overrated wako wapi?
overrated Yupo kwenye top 3Belingham ni overrated, ukweli tayari umedhihiri, tuliambiwa ni best player in the world vipi munaendelea na msimamo wenu?
overrated Yupo kwenye top 3
Una ukweli upi ulio nao wewe?
Tuletee Underrated wako Musiala utuambie ni wa ngapi?
Hata top 10 hayupo.... We mama bhana.
Mimi sio mkali na hua sichukulii vitu personal kiivo.mkuu mbona unakua mkali? Mfalme Mbappe tayari ameshaingia Madrid hao wababaishaji wakubali tu kuwa na side roles
Mimi sio mkali na hua sichukulii vitu personal kiivo.
But sory pale mwisho typing ilikua error sikua na lengo la kuandika "we mama bhana"
nilidhamiria kuandika "We jamaa bhana".
Turudi kwenye mada ....ili mbappe awike anawahitaji kina Bellingham Wawe bora...
Sasa leo hii unataka tushindanishe Mbappe na Jude tena?
Baller wako Musiala kaishia wapi?
Skillful player wako top 10 hayumo.acha kumlinganisha Musiala na vitu vya kipuuzi, Jude mpira anatuliza mara mbili mbili unaanzaje kumlinganisha na skillful player kama Musiala?
Jude ni mpira kilimo jembe la mkono Hana talent ya musiala , Pedri,palmer ,mc allister etc kiufupi ni mchezaji wa kucheza Kwa maelekezo ya kocha na mafanikio ya team yanambeba sio yeye kuibeba team,vin na mbape unaiona talent zao binafsi sio Jude ,Madrid kuondoka Kwa ton na Luka kutawafanya wawe kawaida kwenye kiungo unless wasajili viungo wa ku control mechi hakuna hata mmoja ,valvelde,Jude,camavinga hakuna mtu anaye control mechi ndio maana barca watawapiga Tano ,nne,na kuna siku watawapiga saba mpaka nane maana viungo wao wanachezesha team kama vichwa vimekatwa ni kukimbiza kimbia tu hakuna utulivu .acha kumlinganisha Musiala na vitu vya kipuuzi, Jude mpira anatuliza mara mbili mbili unaanzaje kumlinganisha na skillful player kama Musiala?