Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Ushindi muhimu leoKikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking.
Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia.
Sawa sawaUshindi muhimu leo
Nikiwaona lucas,mendy na tchouameni wakianza pamoja nakosa amani kabisa🙌.Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking.
Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia.
Kijana haimbwi sana ila kazi yake inaonekanaz hana makuu.Rodrigo
Sana hana mamb mengKijana haimbwi sana ila kazi yake inaonekanaz hana makuu.
Kwa miaka ya hivi karibuni city wameonekana kuwa na ushindani wanapokutana na madrid huenda hili limekaa kibiashara zaidi.UEFA lazima watakuwa wana lao tu, kwanini kila mwaka mechi hiyo hiyo inajirejea
Kwa miaka ya hivi karibuni city wameonekana kuwa na ushindani wanapokutana na madrid huenda hili limekaa kibiashara zaidi.
Ancelloti na kijana wake Tchouameni kama kawaida., dogo Asencio ninaona kama yupo vizuri sana., ila acha tumwachie MwalimuKikosi cheque hiki hapa. Vini, Ceballos ndani