Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Yeah, jana vijana walijitahidi, bado hawajfikia kiwango cha kuwapongeza, ila ninaona kuna jitihada., akirudi Camavinga labda team itachukua sura mpya, ila kwasasa wanaendelea kuimarika.Jana kwa mara ya kwanza msimu huu nimeona timu imeanza kuwa serious naona kunadogo mpya ambae ni tishio sana Endrick aisee ni kama yule wa Barca(New superstar). Akitunzwa hakika watakula matunda yake.
Hawatoipenda hiiEl jugador mejor del mundo es vinicius junior. Baila Vini baila masView attachment 3105512
Watu wanaumia kinyama mwamba kushinda bdorHawatoipenda hii
Hapana, atakuwepo, mpka zifike kadi tano.Vin ana yellow card 3 mfululizo kwahyo Derby anaikosa?