Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
FT: Real Sociedad 0-2 Real Madrid
Ansu fati mlisemaga ivo ivo. Sa iv ansu fati afadhali ya MABULULU wa ANGOLAHey Madada Fc 😂😂,we are back,forca BarcaView attachment 3097418
Wait,utamuona huyo dogo msimu,alafu kam hujui Ansu Fati n finisher hatar kuliko huyo Vin wenu,so n suala la muda still kijana ana 21 yrsAnsu fati mlisemaga ivo ivo. Sa iv ansu fati afadhali ya MABULULU wa ANGOLA
Kumbuka tuna majeruhi wengi bro. Afu nimegundua kitu opponents wetu wanakamia mno.Timu inapitika lirahisi sana, daaah msimu huu mgum kwetu
Afu timu ambazo zinakuja kuwafunga hao wakamiaji ni za kawaida sana,we tulia uone game ijayo Stuttgart atakavyokalishwaKumbuka tuna majeruhi wengi bro. Afu nimegundua kitu opponents wetu wanakamia mno.
Afu timu ambazo zinakuja kuwafunga hao wakamiaji ni za kawaida sana,we tulia uone game ijayo Stuttgart atakavyokalishwa
Ndo maana nikasema opponents wetu wanatukamia sana sisiAfu timu ambazo zinakuja kuwafunga hao wakamiaji ni za kawaida sana,we tulia uone game ijayo Stuttgart atakavyokalishwa