Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dogo ana miaka 17 ila ana Ego balaa ,

Bellingham, Vinicious Jr, Mbape na Endrick Hawa wachezaji Anceloti kazi anayo maana Kila mmoja anapenda sifa
Kabisa kama ile nafasi ambayo aliamua kupiga mwenyewe ule ni upuuzi wakati jude alikuwa kafungua upande wa kushoto, hata siku ya kwanza aliposhinda kwenye hali kama ile nilifurahia goli lakini sikufurahia ule uamuzi maana tayari wengine walikuwa wamefungua pande zote lakini akaamua kufanya vile na kwa upande wa game ya jana ilikuwa ni game ya maamuzi akarudia tena vilevile.

Wanalewa sifa hawa msimu huu kazi inaweza kuwa ngumu aisee.
 
Dogo haijui Santiago Bernabéu, na vile alivyo wa kulialia, asipoangalia atalia sana
 
Back
Top Bottom