PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,846
- 23,412
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks 😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaumwa wewe. Yaani I can't wait for the new season to start. Hilo balaa la hapo juu liache. Real Madrid imebeba makombe bila clinical number 9, sasa kaongezwa finisher, Mbappe huyo Guadiola tayari ashajua yuko out of Champions league kabla haijaanza.