IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,812
- 7,277
KRoos na modric wamesepa kuanzia msimu ujao lazima mpoteane
Pole sana MkuuView attachment 3006929
Mpaka nilipasua simu kwa hasira nawachukia mno. Akitoka shetani kwenye list yangu mnafata nyie
Bibie umeolewa? samahan lakini ikiwa nitakua nimeingilia faragha yako.KRoos na modric wamesepa kuanzia msimu ujao lazima mpoteane
Kwani huyu ni bibie au babueeh 😆Bibie umeolewa? samahan lakini ikiwa nitakua nimeingilia faragha yako.
Kwani huyu ni bibie au babies
Mabeki wavivu waanze kustaafu mapemaHalla Madrid Los blancos 🏳️🏳️ forever 🔥🔥
View attachment 3007765
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks 😂😂😂😂😂😂😂😂
haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya MbuziHawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks 😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe ndio hauko serious ,inasikitisha kuona mechi ya man city vs madrid ,doku anakuwa bora kuliko vin na ridrigo huu ni uhaini dhidi ya big talent ,wapenzi wa mpira tunapenda unashinda kombe kwa swags ,unaikumbuka madrid ya Zizzou akiwa kocha?ulimuona winger anakuwa beki ?unaikumbuka liverpool bingwa wa Cl chini ya master of jurgern?City ya Pep? Barcelona ya Pep na Rijkard? Wachezaji waonyeshe vipaji vyao tuburudike ,mpira ni burudani.Leo tunajadiliana jude anastahili balon dor lakini tukikumbuka game za buyern ,city alikuwa anazurura tu akimsaidia beki kukaba ,bora camavinga apewe ndio kazi yake.haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya Mbuzi