Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
perez jana anakwambia now we focous on 16
Noma sana, watu hatujamalizia kushangilia, Don anawaza kuchukua tena kombe Msimu ujao.,perez jana anakwambia now we focous on 16
ile Mentaliy ya Real madrid ni hatari sana yani ni kama ndio klabu inaanza kutafta new champions leauge wakati tayari ina Champions leauge 15Noma sana, watu hatujamalizia kushangilia, Don anawaza kuchukua tena kombe Msimu ujao
Bado upo london?Hili li timu linacheza ovyo ovyo tu ,halafu linashinda ,mpira mbovuuuu ,hamna ladha .
Pumbavu ,mbeleko fc haikupaswa kuvuka semifinal ,Tuchel na Bayern walifanyiwa hujuma
kama ingekua kucheza mpira mzuri kunaleta makombe kipara leo angekua anaongoza kwa kubeba champions leaugeHili li timu linacheza ovyo ovyo tu ,halafu linashinda ,mpira mbovuuuu ,hamna ladha .
Pumbavu ,mbeleko fc haikupaswa kuvuka semifinal ,Tuchel na Bayern walifanyiwa hujuma
HahaaaaaaNoma sana, watu hatujamalizia kushangilia, Don anawaza kuchukua tena kombe Msimu ujao.,
Pole sanaView attachment 3006929
Mpaka nilipasua simu kwa hasira nawachukia mno. Akitoka shetani kwenye list yangu mnafata nyie
we ni kichaa kwahyo akili yako ilivokua inakutuma wale watoto jana wangebeba kombeView attachment 3006929
Mpaka nilipasua simu kwa hasira nawachukia mno. Akitoka shetani kwenye list yangu mnafata nyie
Sure yule nacho mpira wake wa kawaida sana😂🙌Kuna watu wana kisimati sana yaani Nacho ana UCL tano na mpira hajui 😂😂
Kivipi yani kiongozi 🙌Huyu dogo nahisi naye ni illuminat.
Yule shabiki alivamia uwanja nahisi ni mbinu za illuminat kusambaza dini yao.