halafu huyo kijana jude ndio wanampigia debe abebe ballon dor dah
hii timu ni bora sana ila sometimes unatamani kocha kama alonso au zidane awepo kuwakomaza hao madogo na tatctis kali zakupambana na hawa vigogo kama man city au Bayern ila soo far ni sehemu chache tu inahitaji improvement kweny squad