Atakuja na mashairi yake hapa subiri uone
Jude ni beast wewe huwez mwelewa , Ile mechi na city Madrid alienda completely defensively , na dogo alitaabika Sana...mwanzoni mwa Msimu alikuwa kama striker ila sa hv hayo majukumu kapunguziwa ..ndo mana hata kwenye magoli haonekani sana
Ni kawaida kwa makocha wa ulaya kusifu wachezaji wanaowafundisha, Mourinho alikua anasema Drogba ndio best striker in the world, alipofika Inter akabadilisha akawa anasema etoo ndio Best.
Jude na KAKA ni sawa na kulinganisha Bongo na Duba
zipi ni Sifa za ungo kuhusu huyo kijana wew jamaa unashida kubwa sana Sio Bure aseeNaona mumeibuka baada ya muda mrefu wa dhiki, Msisahao kuwa ni Goli kwenye karibu mechi saba sasa.
Kuna wenzenu Ulaya wamepata orgasms' kabisa, Media za Kiingereza zinatapika toka jana.
Jaribuni kutozama comment section muone raia wanavyovurugwa na sifa za uongo za kijana wenu
Real Madrid player ratings vs Barcelona: Jude Bellingham called game! Ballon d'Or favourite's last-gasp winner settles El Clasico - and La Liga title race - as Lucas Vazquez plays unlikely starring role | Goal.com
uwe unatazama mechi vi clip vya youtube vitakufanya uwe kichaaKenge nyie mpira umevuka mstari refa anakataa goli la halali mnabebwa sana. Sasa uefa kuna Goal line tech bayern watawanyoosha
ana nguvu sana kama mtu mweusi bwana na ile shuti power yake ndio balaaa kwa kizazi ichi Valverde ana piga sana mabunduki mpira ukija kweny mguu ni balaaIla Valverde ni chuma sana yule kijana, ni muda wote anakimbia tu, huoni dalili ya kuwa amechoka ama kulalamika, sishangai kuona kila game anaanza.
Ngoja nikutumie kichekesho sasa!!!Ila Valverde ni chuma sana yule kijana, ni muda wote anakimbia tu, huoni dalili ya kuwa amechoka ama kulalamika, sishangai kuona kila game anaanza.
Hiki hapa juu.sikuwa nikimkubali valverde kutoka ufinyu wa skill yako kwa quality ya club kama madrid, alitakiwa acheze Atletico nasio real Ila Carlo msimu huu amempatia perfect position kabisa inayomfaa. amempunguzia majukumu ya attacking ambayo ndio yalikua ndio udhaifu wake. Siku hizi namkubali sana.
Huyo ni mchezaji wa Liverpool msimu ujaoIla Valverde ni chuma sana yule kijana, ni muda wote anakimbia tu, huoni dalili ya kuwa amechoka ama kulalamika, sishangai kuona kila game anaanza.
Hiki hapa juu.
Wewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]uchekeshaji wake uko wapi? Kabla ya Carlo Valverde alikuwa ni wakawaida sana, Caro amepandisha standard ya wachezaji wengi sana pale Madrid.
kwahyo na wew upo apa kupandisha Standard yauchekeshaji wake uko wapi? Kabla ya Carlo Valverde alikuwa ni wakawaida sana, Caro amepandisha standard ya wachezaji wengi sana pale Madrid.
uchekeshaji wake uko wapi? Kabla ya Carlo Valverde alikuwa ni wakawaida sana, Caro amepandisha standard ya wachezaji wengi sana pale Madrid.
ushauri wa bure uyo jamaa ni wakumpuza tu utapoteza Nguvu zako Bure unajua ukiwa mjuaji sana ata siku moja huwezi kuona madhaifu yakoWewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]
Mwaka 2018 Cesar Caspar anaandika ''Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu...''
Rapherl 2019: Fede Valverde has impressed Zinedine Zidane, and is set to be given a number of opportunities in the games that remain, with a view to him becoming an important player next season. Zinedine Zidane is a fan of the midfielder's strength, dynamism and versatility. [MARCA]
Cesar Caspar 2019: ''Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team...''
PAGAN 2019: ''Kitu kingine, ya nini umsaini Pogba wakati kuna Fede Valverde? Dogo ana vitu vyote anakaba with unexpected tackles, air duals, akishambulia ana pace, speed na mpira unanata mguuni.''
Hizo ni chache tuu. Ila utaona Valverde amekuwa consistent since ametoka Castilla mwaka 2017. Comment yako imekaa kiduanzi kiduanzi, kama inaonyesha ulikuwa na shida zamani na Valverde kama ulivyo na shida na Jude sasa hivi.
Wewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]
Mwaka 2018 Cesar Caspar anaandika ''Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu...''
Rapherl 2019: Fede Valverde has impressed Zinedine Zidane, and is set to be given a number of opportunities in the games that remain, with a view to him becoming an important player next season. Zinedine Zidane is a fan of the midfielder's strength, dynamism and versatility. [MARCA]
Cesar Caspar 2019: ''Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team...''
PAGAN 2019: ''Kitu kingine, ya nini umsaini Pogba wakati kuna Fede Valverde? Dogo ana vitu vyote anakaba with unexpected tackles, air duals, akishambulia ana pace, speed na mpira unanata mguuni.''
Hizo ni chache tuu. Ila utaona Valverde amekuwa consistent since ametoka Castilla mwaka 2017. Comment yako imekaa kiduanzi kiduanzi, kama inaonyesha ulikuwa na shida zamani na Valverde kama ulivyo na shida na Jude sasa hivi.
Usimlaumu refa laumu mchezaji wako kwann alishindwa kufikisha mpira wavuni Kama Jude Bellingham ili kuondoa utata.Kenge nyie mpira umevuka mstari refa anakataa goli la halali mnabebwa sana. Sasa uefa kuna Goal line tech bayern watawanyoosha
Dogo anafata awe captain baadaeIla Valverde ni chuma sana yule kijana, ni muda wote anakimbia tu, huoni dalili ya kuwa amechoka ama kulalamika, sishangai kuona kila game anaanza.
Broo achana nae huyuWewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]
Mwaka 2018 Cesar Caspar anaandika ''Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu...''
Rapherl 2019: Fede Valverde has impressed Zinedine Zidane, and is set to be given a number of opportunities in the games that remain, with a view to him becoming an important player next season. Zinedine Zidane is a fan of the midfielder's strength, dynamism and versatility. [MARCA]
Cesar Caspar 2019: ''Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team...''
PAGAN 2019: ''Kitu kingine, ya nini umsaini Pogba wakati kuna Fede Valverde? Dogo ana vitu vyote anakaba with unexpected tackles, air duals, akishambulia ana pace, speed na mpira unanata mguuni.''
Hizo ni chache tuu. Ila utaona Valverde amekuwa consistent since ametoka Castilla mwaka 2017. Comment yako imekaa kiduanzi kiduanzi, kama inaonyesha ulikuwa na shida zamani na Valverde kama ulivyo na shida na Jude sasa hivi.
Kuna mchezaji aliwahi kutoka Madrid kwenda Liverpool?Huyo ni mchezaji wa Liverpool msimu ujao
Una ligi za kijinga sanaNarejea tena, Valvelede kabla ya Carlo alikuwa ni wakawaida sana, Hivi sasa jamaa perfomance zake ni za ki world class player, hakuwa na hadhi hiyo kabla ya carlo, si yeye tu na wengine wengi akina VIni, rodrygo. hicho kipindi unachokizungumza cha Zidane timu ilikuwa ina hali mbaya sana, ilifika hatua mpaka ikaaga champion league round of 16.