Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Barca akimtoa PSG ana asilimia kubwa sana kufika fainali., Atletico huwa wanajua kuwakazia Real Madrid tu, ila kwa team nyingine za La Liga huwa wanachapika kirahisi sana.Sikucheki game la Barca, nimeona matokeo tu hapa.Ila kama El Cholo atatoboa ujerumani basi njia ya Barca kufika fainali ni nyeupe, provided that atapita.
Why?EL cholo hajawahi kumfunga Xavi tangu katua Barca. Na sioni akianza mara hii
Liverpool imeingiaje huku,Liverpool ni timu dhaifu sana
kuelekea mchezo wa Robo finally Real Madrid C.F. dhidi ya Manchester city pale Etihad.
Mazoezi dhidi ya Mallorca yameisha salama,
Naona Jude Bellingham badala ya kuiweka timu mabegani mwake yeye ndio anataka timu imbebe,
Kwa sasa hataki tena kuvuja jasho,
Amekua ni mtu wa kuvizia akisubili Second ball ili Afunge, ni mbaya Sana Hii.
Sijajua mpango wa Don Ancelotti Ila mimi binafsi naona Game ya city tunahitaji watu wanaokaba na kukimbia Zaidi,
kwahyo ni kheri Brahim Diaz ningependelea hiyo siku aanze nafasi ya Jude, majipu ya kwapa yashaota kawaida Yao ma dogo wa kiingereza.
"mrithi wa Toni Kroos tunae,
Mtihani ni kumpata Mrithi Wa Mtakatifu Luca Modric, huyu Mzee ukiona anatengeneza nywele ujue kumekucha".

Velverde angalauMrithi wa Kroos amepatikanwa wapi? au unamaanisha Camavinga? jamaa ni bado sana
Kwa kweli hata replacement ya kroos bado imeshindwa kupatikanwa na ndio mana lazima aanze kila siku.
Watoto wa kiingereza Wana matatizo sanaMrithi wa Kroos amepatikanwa wapi? au unamaanisha Camavinga? jamaa ni bado sana
Kwa kweli hata replacement ya kroos bado imeshindwa kupatikanwa na ndio mana lazima aanze kila siku.
Velverde angalau
Watoto wa kiingereza Wana matatizo sana
Una mawazo mazuri, ila ishu ya Brahim kuanza mbele ya Jude hapana, Brahim ni mzuri sana team ikiwa na mpira na inashambulia, hapo utampenda, ila kwenye kukaba sio mzuri kihivyo, jana ninadhani uliangalia game yetu dhidi ya Mallorca., Jude yawezekana maneno ya kumsifia yamemlevya, ila bado ni mchango wake unahitajika ndani ya team.kuelekea mchezo wa Robo finally Real Madrid C.F. dhidi ya Manchester city pale Etihad.
Mazoezi dhidi ya Mallorca yameisha salama,
Naona Jude Bellingham badala ya kuiweka timu mabegani mwake yeye ndio anataka timu imbebe,
Kwa sasa hataki tena kuvuja jasho,
Amekua ni mtu wa kuvizia akisubili Second ball ili Afunge, ni mbaya Sana Hii.
Sijajua mpango wa Don Ancelotti Ila mimi binafsi naona Game ya city tunahitaji watu wanaokaba na kukimbia Zaidi,
kwahyo ni kheri Brahim Diaz ningependelea hiyo siku aanze nafasi ya Jude, majipu ya kwapa yashaota kawaida Yao ma dogo wa kiingereza.
"mrithi wa Toni Kroos tunae,
Mtihani ni kumpata Mrithi Wa Mtakatifu Luca Modric, huyu Mzee ukiona anatengeneza nywele ujue kumekucha".
Una mawazo mazuri, ila ishu ya Brahim kuanza mbele ya Jude hapana, Brahim ni mzuri sana team ikiwa na mpira na inashambulia, hapo utampenda, ila kwenye kukaba sio mzuri kihivyo, jana ninadhani uliangalia game yetu dhidi ya Mallorca., Jude yawezekana maneno ya kumsifia yamemlevya, ila bado ni mchango wake unahitajika ndani ya team.
Game ya City niwaombea Kroos na Vinicius waamke siku hiyo vizuri, tukiwa na transition nzuri na pass nzuri za mwisho ama umaliziaji tutakuwa salama sana.,
Sitegemei kupata nafasi nyingi dhidi ya City, ila ninategemea hizo nafasi tutakazopata zitumike vizuri.
mrithi wa tony kross huyo... German MachineBora Madrid wangemuwahi Florian Wirtiz.
Mali Ile ipo Buyern 04 Levakusen,
Yule ndio mkatili sasa
Itakua poa sana sema kipara nae yupo ujue na city yakemrithi wa tony kross huyo... German Machine
2026 anatua hapo pamoja na alonso wakibeba mikoba ya anceloti
Kuna sehemu nilisoma kuwa Adidas ndio walikuwa kwenye mchakato wa kumpambania kijana kutua Santiago Bernabeu., acha tuone kama watafanikiwa.,Bora Madrid wangemuwahi Florian Wirtiz.
Mali Ile ipo Buyern 04 Levakusen,
Yule ndio mkatili sasa
Wafanye hvyo, hawa waingereza hawachelewi kufeliKuna sehemu nilisoma kuwa Adidas ndio walikuwa kwenye mchakato wa kumpambania kijana kutua Santiago Bernabeu., acha tuone kama watafanikiwa.,
Bora Madrid wangemuwahi Florian Wirtiz.
Mali Ile ipo Buyern 04 Levakusen,
Yule ndio mkatili sasa