Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Namaanisha nimewahi vuka hatua kwenye ucl nikiwa vs city hapo hapo kwa etihad dogo. Muwe na kumbu kumbu nyie Arsenal mliovamia chaka la city kupoza machungu
Unamaanisha ushawahi kuvuka hatua ya mtoano ucl second leg mbele ya city etihad?

Hakuna second leg iliyochezewa etihad ukavuka..kama unabisha weka hapa huo msimu mliocheza second leg etihad mkapita bila kujali mlipigwa au mlishinda.

Misimu yote mliyopita mbele ya city bernabeu ndio paliamua.
 
wew katoto kajinga kweli kwahyo wew unahis mim ni mtoto mwezako haya kazi yake kubwa ni ku link middle area na attack.area hiyo ndio core function

Na hiyo ndio weakness kuu ya Jude, Diaz au Modric ni bora mara 10 zaidi wanapocheza kwenye hiyo position. wana connect vizuri zaidi midfield pamoja na forward, Jamaa yeye kazi yake imekua kuvizia nafasi afunge badala ya kufanya kazi yake.
 
Sikucheki game la Barca, nimeona matokeo tu hapa.Ila kama El Cholo atatoboa ujerumani basi njia ya Barca kufika fainali ni nyeupe, provided that atapita.

Why?EL cholo hajawahi kumfunga Xavi tangu katua Barca. Na sioni akianza mara hii
 
Na hiki cha kusifia sifia ndo kimeifanya Uingereza kwenye michuano ya kimataifa kuwa na hype kubwa lakini makombe yakiwakimbia. Wanatabia sana ya kusifia vya kwao hata kama havina maajabu. Vyombo vyao vya habari kwa propaganda sidhani kama kuna vya nchi nyungine vinaifikia.
 
Sidhani kama hua una angalia games za RMA pengine hua una angalia highlights au matokeo , Jude akiwa hayupo timu hua una struggle sana kupata matokeo na kuna mechi nyingi tu ambazo zilihitaji individual briant yake tukapata matokeo mfano El classical na ile ya Union Berlin
 

Jude ana individual brilliant? That's a Good Joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…