Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ancerloti Moga sana kipind cha pili karudi na kukaa nyuma ilikua hatari sana kama second leg ataenda kukaa Nyuma mda mrefu Tena kipara atatusumbua sana
Sasa Carlo si ni coward m1 tyuu, ana jipya lipi?
Akaribie Etihad, tumuoneshee.
 
Mwendo mmeumaliza, jipangeni kwa ajili ya msimu ujao.

Kila la heri Man City, kawageuze kitoweo cha Eid hawa viumbe pale Ethad kama kawaida yako.
 
Etihad ni uwanja tiliowahitumia kutinga final uefa. Tena tulikwenda etihad tumefungwa na city 1st leg kule bernabeu. Sasa twende kwao mbungi ikapigwe huko. Only long balls tunamaliza kazi. Kroos aanze very tight katikati afu baadae dong maestro luca aingie asambaze upendo kama jana.
 
Madrid ni kama mtu anafuga mbwa kwa kutegelea mavi ya mlevi yaani wewe utegemee mbio tu na ubahatishe ,kwenye goli tatu deflactions 2 hauwezi kuwa na plan nyingine ,kuna maswali yataulizwa na citizens pale Etihad junior staff kama Jude hawawezi kujibu.
 
Mechi ijayo pale kati tutafunga milango Kwa vitasa Miltao & Rudiger,

Kisha pale Kati tutafungua booster Camavinga, Velvede, Kroos,

False 9 atasimama Jude, kulia Rodrigo, na kushoto Vini,

Hiki ndio full kikosi na hatutacheza Kwa tahadhari wala mzaha tena Kama jana,

Ni full mchaka mchaka,
Wao Kama wanajiona jana wamecheza,
sisi tuanaona tumepasha,

Vini, camavinga na Jude kutokupata Kadi za njano ni mtego ambao Kipara hawezi kuuruka.

Naamini "Kisago walicho-kikwepa Santiago kinawafuata Etihad"
 
Well said bro
 
HUjawahi ifunga city etihad angalia rekodi zako vizuri.
 
Reactions: K11


Siku zote huwa nasema humu huyo Jamaa Jude ni muwa ila mnakuwa wabishi, haya endeleeni kumtetea eti game imemkataa
 
Deflection haitokei bila shot sijui una ongea kitu gani
 
Modric anatakiwa kuanza nafasi ya Jude, kwa kweli jamaa hana faida yoyote uwanjani zaidi ya kuvizia mipira ndani ya 6 yard box.
 
Hayo ni maoni yako nayaheshimu japo sio kweli

jamaa anakosa mchango wowote uwanjani, Vyombo vya habari vya kiengereza vinabinya, toka jana wako bzy kumponda Halland Jamaa yao kama hawamuoni, alikua ni worst player on the pitch
 
Ni Kwel Jude game ilimkataa kabisaa..na aina ya magoli tumefungwa karibu yote yanafanana,nafikiri huo ndio udhaifu wameona pekee tunao kwenye safu ya ulinzi,huku mbele wachezaji wapunguze ila anakwenda na mpira anakwenda na mpira.
Kijana game ilimkataa, sijui alikuwa amepania? Ama ni vp, ninaamini atakuwa vizuri game ijayo.,
Suala la msingi ni kutumia nafasi tutakazopata vizuri, Carlo alifanya vema sana kumuanzisha Rodrygo winga ya kushoto, kijana anakuwa mzuri sana akitokea upande ule.
Ni matumaini yangu kuwa return leg hatutacheza tena kinyonge kama msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…