Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

We hua unaangalia mechi au unasubiri matokeo?
Kuna wengine hua mnaangalia score line baada ya mechi alafu mnazungumzia viwango vya wachezaji.

natizama vizuri sana, hua anazunguka tu uwanjani, anongoza kuanguka ovyo kuliko mchezaji yoyote yule uwanjani
 
Hello Madridistas., baadae kidogo vijana watakuwa Uwanjani dhidi ya Girona.,
Starting line-up ni kama ilivyo hapo juu.
 
Leo tunacheza bila ya kuwa na natural CB defender, Nacho na Rudiger wote wamepata majeraha. So pale kati lei atasimama Tchouameni na Dani Carvajal
 
Vijana wa kule Facebook, eti Girona kapoteza game mmoja tu tangu La Liga ianze, nikawaambia leo anapoteza ya pili. Sijui kwanini hii timu watu wanaichukulia poa! Acha Rudiger na Militao warudi ndio tutaheshimiana huko UCL
 
Wasisahau kuwa, game yenyewe waliyopoteza ni sie tuliwafunga kwao.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…