Hii game ninaona kama tunacheza kwa uoga sana, ni kama tunategemea counter attack ila sasa hata hayo mazingira ya kupata hiyo counter attack hakuna., labda nitulie niangalie kipindi cha pili vizuri, kwasababu game yenyewe nimeikuta dakika ya 30.
#HalaMadrid