Inashangaza sana mkuu, me huwa najiuliza, mpaka mtu kuwa shabiki wa liverpool,madrid, man utd, milan, walianzaje kwani wao?Mimi nawashangaa waulize wenyewe walianzaje kushabikia timu wanazoshabikia. Wenyewe sawa ila sisi kushabikia City wana-raise hoja mfu
Inashangaza sana mkuuInashangaza sana mkuu, me huwa najiuliza, mpaka mtu kuwa shabiki wa liverpool,madrid, man utd, milan, walianzaje kwani wao?
Yani mtu kwenye udogo wake miaka ya 2000-2003 kaipenda arsenal au man utd lakini anakuja kumshangaa mtu ambaye kwenye udogo wake miaka ya 2009-2012 kaipenda man city.
Fallacy of generalization.Msingi wa hoja yangu haupo kwenye ubora wa La Liga vs EPL. Msingi ni kwamba mashabiki wengi wanashabikia Barca/Madrid kama second option ya kufata glory ya UEFA.
Sasa hoja ya kusema mashabiki wote wa city ni glory hunters haina mashiko, sababu kama ambavyo wewe umeipenda milan toka udogo wako, basi kuna ambao wameipenda city toka udogo wao sababu ndio wamekua kwenye era ambayo City is the big dog kama ilivyokuwa milan kipindi hicho.Kwa waliozaliwa 2000's ni sahihi unachosema. Sababu ule msimu wa 2010-2011 ambao City alichukua Epl dakika ya mwisho kwa goli la kihistoria la Aguero vs QPR ni mwaka ambao waliozaliwa 2000's ni kama ndo walianza kua na ufahamu wa mpira
Kwa hiyo unataka niambia kumkuta mtu mzima wa 30's kuwa shibiki wa city huo ni ka upepo na kutafuta faraja tuu au sijakuelewa vizuriInashangaza sana mkuu, me huwa najiuliza, mpaka mtu kuwa shabiki wa liverpool,madrid, man utd, milan, walianzaje kwani wao?
Yani mtu kwenye udogo wake miaka ya 2000-2003 kaipenda arsenal au man utd lakini anakuja kumshangaa mtu ambaye kwenye udogo wake miaka ya 2009-2012 kaipenda man city.
Umekubali pia wapo walio hamia.Sasa hoja ya kusema mashabiki wote wa city ni glory hunters haina mashiko, sababu kama ambavyo wewe umeipenda milan toka udogo wako, basi kuna ambao wameipenda city toka udogo wao sababu ndio wamekua kwenye era ambayo City is the big dog kama ilivyokuwa milan kipindi hicho.
NB; Nakubali pia kuna walio hamia.
Safi mkuu. Mi chama langu ni Milan tangu nipate ufahamu wa mpira nikiwa mdogo, na kamwe sitawahi kushabikia timu Epl. Binafsi Epl naifuatilia sababu ya ligi za hela za Fantasy Premier league, ambazo huwa najiunga kila msimuFallacy of generalization.
Mimi ni shabiki wa La liga na timu yangu ni barca.
Nimeanza kushabikia la liga 2001 mpaka leo sina timu EPL na sina mpango wa kuwa nayo.
Au sioFallacy of generalization.
Mimi ni shabiki wa La liga na timu yangu ni barca.
Nimeanza kushabikia la liga 2001 mpaka leo sina timu EPL na sina mpango wa kuwa nayo.
Hawa jamaa wanajitekenya halafu wanacheka wenyeweSasa hoja ya kusema mashabiki wote wa city ni glory hunters haina mashiko, sababu kama ambavyo wewe umeipenda milan toka udogo wako, basi kuna ambao wameipenda city toka udogo wao sababu ndio wamekua kwenye era ambayo City is the big dog kama ilivyokuwa milan kipindi hicho.
NB; Nakubali pia kuna walio hamia.
Kwa hapo tumekubaliana mkuu[emoji1666], hakuna tena cha kubishaniaSasa hoja ya kusema mashabiki wote wa city ni glory hunters haina mashiko, sababu kama ambavyo wewe umeipenda milan toka udogo wako, basi kuna ambao wameipenda city toka udogo wao sababu ndio wamekua kwenye era ambayo City is the big dog kama ilivyokuwa milan kipindi hicho.
NB; Nakubali pia kuna walio hamia.
Ipo hivi.Kwa hiyo unataka niambia kumkuta mtu mzima wa 30's kuwa shibiki wa city huo ni ka upepo na kutafuta faraja tuu au sijakuelewa vizuri
Mashabiki wa City wapo aina tatuKwa hiyo unataka niambia kumkuta mtu mzima wa 30's kuwa shibiki wa city huo ni ka upepo na kutafuta faraja tuu au sijakuelewa vizuri
Hoja yangu ilikua kupinga mnaposema mashabiki wote wa city ni glory hunters.Umekubali pia wapo walio hamia.
Umekubali pia kama yupo die hard fan wa city basi huyo ki umri ni mdogo.
Wewe ni mtu na nusu mkuu. Pokea maua yako
Sijui yupo wapi huyu Galatians mwenzetu
Sasa tumekubaliana shabiki wa city kama ni hawa wa age ya 18's to 20's anauhalali wa kuitwa DIE HARD FAN. Ila kama ni wa age ya 30's to 40's itoshe kumuita GROLY HUNTER.Hoja yangu ilikua kupinga mnaposema mashabiki wote wa city ni glory hunters.
Hahahaha, mkuu kuna shabiki wa city bongo yupo kwenye 40's ? Hata kwenye 30's ni ngumu.Sasa tumekubaliana shabiki wa city kama ni hawa wa age ya 18's to 20's anauhalali wa kuitwa DIE HARD FAN. Ila kama ni wa age ya 30's to 40's itoshe kumuita GROLY HUNTER.