Siyo kwa maoni yako bali huo ndo ukweli mchungu.Hatimaye ule ubishani umefikia tamati. Siwashabikii City ila ni ukweli usio na shaka kuwa City ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa ( kwa maoni yangu)
Well said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.Hatimaye ule ubishani umefikia tamati. Siwashabikii City ila ni ukweli usio na shaka kuwa City ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa ( kwa maoni yangu)
[emoji16]Madrid hanaga cha nyumbani wala ugenini [emoji2]
Laliga nako bingwa wetu barcelona kashachukua dah😢Heko Madristas
It’s over tujipange next season. Nafikiri bench letu sidhani kama litabaki hivi hivi. Tulikua na mentality ya kuogopa game so we deserve kupoteza
Kutesa kwa zamu kama wao tulivyowatesa msimu ulioisha ni vile pia wametutesa sie. Kikubwa tuko hai na salama[emoji23]
Tukutane kumaliza laliga
Well said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.
Tumetepeta sana leo los blancos
Mi nna 25 na ni city lialiaWell said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.
Tumetepeta sana leo los blancos
Wa kwanza militao,goli zote zmepita kwake[emoji26]Kuna chekecheke kubwa sana lakupitisha hapo,kuna wachezaji hawana viwango vyakuvaa jezi yetu..
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mbaya ukifanya kutulinda the Citizens na ushindi wetu mnono.Hii mechi ya Leo imeniuma Sana
Sidhan km ntalala usngz ukaja [emoji26]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Madrid hanaga cha nyumbani wala ugenini [emoji2]
Umeijua city liniMi nna 25 na ni city lialia
LeoUmeijua city lini
Inter Milan watawatoa tu, Madrid ilikuwa bovu tofauti na mwaka Jana! Pia ni hao hao tu toka 2014, hawanunui wachezaji wapyaLaliga nako bingwa wetu barcelona kashachukua dah[emoji22]
Sema Madrid hatupo levo ya mancity kabisa mazee..Mancity ni litimu limoja linatisha sana
Insult sio? wewe ni mpumbavu.Man city haina mashabiki. Shabiki yeyote wa city ni either mtoto sana au shabiki wa timu nyingine anayetafuta faraja kwa city na wote ni wajinga wajinga.
Hii timu huenda ni mashabiki wa arsenal ambao wanatafuta pa kuonjea ladha ya uefa ndio wakaamua kuja kujificha humu.Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu [emoji23][emoji23]
Watu wanafanya insults tu, kwani mashabiki wa man u, liverpool walianzaje.Akiwa mtoto Kuna ubaya?
Mashabiki wa arsenal hawa, wametafuta pa kupozea ukame wa kucheza uefa ndio wanakuja humu kujiita mashabiki wa madrid kwa ID zingine.Unawasikia eti wanajitapa wenyewe mashabiki wa La Liga. Humu wote wana timu zao za EPL ila ni glory hunters tu wanaoshabikia Madrid sababu inafanya vizuri UEFA tu.
Bongo hakuna mashabiki wa La Liga ukitaka kuamini hakuna kibanda umiza TZ kinachoonesha mechi za La Liga tofauti na El classico