pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,754
HahahaKuna habari nasoma hapa na video naangalia,Haland ana tabia yakujamba hovyo uwanjani hii inapelekea kuwa kero kwa wachezaji wa timu ya upinzani.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Kumrudisha Alaba akiwa hajapona vizuri ilihali tuna vallejo mwenye nafasi yake halisi CB.Hajui anachokisema uyo
Kumrudisha Alaba akiwa hajapona vizuri ilihali tuna vallejo mwenye nafasi yake halisi CB.
Kuna muda anamtumia Militao kama RB wakati Carvajal kachoka ilihali kuna Odriozola mwenye nafasi husika naona ni tatizo.
Angalia magoli mengi tunafungwa yanayofanana kwa uzembe wa Militao ambaye anaonyesha kachoka na kocha hampumzishi.
Tuyaache, maana kila mtu anaangalia mpira na kuutathmini kwa namna aonavyo.mkuu football unaischukulia kama Play station? Odriozola ni third choice Right Back, hebu nitafutie timu ambayo third choice right back hua anapewa namba mara kwa mara kwenye mechi za muhimu.
Ancelloti atafukuzwa tu
Hii timu wa kulaumiwa ni Perez, Nilisema mapema hapa kabla ya msimu kuanza, Timu inahitajili usajili mkubwa, ila kuna watu humu waliiona timu ina kikosi kizito.
Kuna mechi nyingi makosa yamefanyika kizembe..Aliletwa kama care taker baada ya madrid kukosa kocha wakumpa mkataba.
So sitegemei sana ata kama atakaa hadi msimu ujao. Ikitokea akaanza na timu msimu ujao basi akipata matokeo mabaya kama aya atafukuzwa.
Ngoja tuone hadi mwisho
Ni kweli mkuu ila huwezi leta wachezaji pasipokujia impact yao. Inakua changamoto sana. Timu inaitaji kuachana na baadhi ya wachezaji ili kuleta wachezaji.
Mfano asensio naoma safari yake imeiva na yule dogo wa milan anaweza rudi. Kina mariano pia.
Ukisema ufanye overall change inaleta shida yanakua yale yale ya chelsea unakuta unakila kitu kipya.
Mfano project inavyooendq benzema anaongezwa mwaka mmoja ili 2024 mkataba unavyoisha yule dogo wa brazil anafika.
Inasemekana anakuja Bernabeu na yupo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili
Aye aye jude anakuja. Next season tutakua na option kubwa ya viungo kiendelee kuwaka.
Tupate coaching sasa
Inasemekana anakuja Bernabeu na yupo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili
Huyo jamaa ni mua, anakuja kuishia kukaa bench pale, Hakuna hata midfield moja aliyokuepo pale anyemzidi. Hizi signing za mihemko always zinaishia kuicost timu.
Najua wako watakao biasha ila hii msg itakua ni kumbukumbu tosha ya kuwakumbushia.
Kuna ile mido ya napol inajina gumugum hiv ile inajua ball asee