Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Chelsea wamenunua kwa pressure
 
Ceballos ni moja ya wachezaji wa kawaida sana anayecheza madrid,yeye na Nacho ni ngekewa tu wako nayo...

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Bora ya ceballos timu ikiwa inacheza kushambulia anauwezo angalau wa ku build up shambulizi akiwa kiungo namba 8 au namba 10. Ila timu ikiwa inashambuliwa hawezi kuform shield. Nadhan MATEO KOVASIC angerud huyu ceballos ni average angebaki kule kule Arsenal kama mwenzake ORDEGARD au tumuwinde JUDE BELLINGAHM. Sasa kwa nacho jameni jamaa anakabia sana mgongo na macho jana almasura IAGO ASPAS atufunge kisa u floppy wa Nacho sema kipavakatuokoa. Cleansheets nzuri kwa COURTOUS.

Central defenders MILTAO na ALABA tunaweza wakosa kwenye semi finals UCL badala ya NACHO bora acheze VALLEJO
 
Timu imechoka na haina morali, Carlo naye hajui kufanya rotation.Pia kuna average players wengi hawastahili kuvaa jezi ya Real.
Mechi ya Man city inaeza amua hatma ya Carlo.
 
Timu imechoka na haina morali, Carlo naye hajui kufanya rotation.Pia kuna average players wengi hawastahili kuvaa jezi ya Real.
Mechi ya Man city inaeza amua hatma ya Carlo.

Siwezi walaumu hatuna magic yoyote itafanya tuchukue laliga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…