Heko Madridista
Leo tuko uwanjani kuendeleza safari yetu ya ushindi. Nawatazama chelsea wakija na nguvu nyingi walau wapate bao moja la kuwarudisha mchezo.
Mbinu ni ile ile tukae na mpira tucheze one two tupate goli moja ili lizidi kuwaasha chelsea.
Natarajia kipindi cha pili timu itacheza kwa counter attack ikiwa tutaenda half bila kufungana.
Yote kwa yote mpira unamatokeo matatu tusubiri tutakua upande upi.
Hala Madrid