Hello madridista leo ni siku nyingine tunarudi uwanjani. Nategemea kocha afanye mabadiriko makubwa wapewe nafasi wasiocheza. Maana nguvu yetu kupambana laliga imekwisha.
Leo tuko uwanjani na wapinzani wetu wa damu. Itakua ni game ngumu ila na imani timu yangu itacheza bora hofu ili tupate kidogo bao la kuturudisha mchezo.
Leo ni either tufungwe nyingi au barca atoke. Kila la kheri