United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Kwahyo wew unasahau vipigo vyote alivyokupa Real Madrid au umeaza kuangalia game jana mwaka 2012 Real Madrid alikupiga 3 mbili pale bernabeu Cristiano Ronaldo anafunga Goli dakika za lala salama au ulikua bado upo shule mwaka 2016 Real Madrid anakutoa semi final Kwa Goli moja la Gareth bale pale bernabeu wew ulikua uko wapi mwaka jana Tena kakutoa Nusu fainili Real Madrid na city ni Mbingu na ardhi kabisa wew kabishane na stoke city,Leeds united, Sunderland Ndio level zenu hizoMwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...
Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...
Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..
Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377
Wewe kiraka nakusibili tukutane Tena CL .....Kwahyo wew unasahau vipigo vyote alivyokupa Real Madrid au umeaza kuangalia game jana mwaka 2012 Real Madrid alikupiga 3 mbili pale bernabeu Cristiano Ronaldo anafunga Goli dakika za lala salama au ulikua bado upo shule mwaka 2016 Real Madrid anakutoa semi final Kwa Goli moja la Gareth bale pale bernabeu wew ulikua uko wapi mwaka jana Tena kakutoa Nusu fainili Real Madrid na city ni Mbingu na ardhi kabisa wew kabishane na stoke city,Leeds united, Sunderland Ndio level zenu hizo
Kwahyo wew unasahau vipigo vyote alivyokupa Real Madrid au umeaza kuangalia game jana mwaka 2012 Real Madrid alikupiga 3 mbili pale bernabeu Cristiano Ronaldo anafunga Goli dakika za lala salama au ulikua bado upo shule mwaka 2016 Real Madrid anakutoa semi final Kwa Goli moja la Gareth bale pale bernabeu wew ulikua uko wapi mwaka jana Tena kakutoa Nusu fainili Real Madrid na city ni Mbingu na ardhi kabisa wew kabishane na stoke city,Leeds united, Sunderland Ndio level zenu hizo

Mimi najua Madrid ana historia mbaya kutolewa akimalizia nyumbaniUchawi wetu sisi Madrid kwenye izi level za kuanzia mtoano ni kuanzia ugenini wengi nadhani hatujajua Ilo. Ila sio mbaya tupo njia ngumu sana
Ndugu zetu wa Chelsea hawana timu ya kumtoa bingwa mtetezi.Uchawi wetu sisi Madrid kwenye izi level za kuanzia mtoano ni kuanzia ugenini wengi nadhani hatujajua Ilo. Ila sio mbaya tupo njia ngumu sana
Hilo jamaa ni zezeta sana linaokotakota matokeo yanayomfurahisha tu.Inamaana ww kushinda nisawa ukipoteza niluck kwa mpinzani sio
Endelea kuota..Madrid ndo kidume cha mbegu duniani sio kwa nyie nyumbu pekee.Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...
Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...
Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..
Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377
Sizani sababu hadi ligi iishe Kuna mechi 38 na tayari mechi 25 Real Madrid na Barcelona wamecheza Barc akishinda game mbili zijazo atakua na point 71 kwahyo ukipiga hesabu kwa mechi zitakazo Baki bado Real Madrid anaweza kufikisha point alizonazo BarcelonaNasikia tukipoteza game ya leo wenzetu wanatangaza ubingwa rasmi. Next game wanakabidhiwa kombe uwanjani.
Niliwaambia hapa, Liverpool mtawapiga tena. Hawana timu kabisa. Sasa next round dhidi ya Chelsea, mmepata kibonde mwingine. Hii Chelsea ya sasa hivi hata ikikutana na Yanga, bado sio ya kuiamini.Defense ya Liverpool ni mbovu sana, wakati frontline yao iko vizuri kiasi. Mechi itakua rahisi kama mtawashambulia ili watumie muda mwingi kujilinda badala ya kupanda juu.
Niliwaambia kuna vibonde wengi kwenye UEFA msimu huu. Ukikutana na team kama Chelsea au Inter Milan robo fainali, ni nafuu sana. Nadhani Man City na Bayern Munich pekee ndio wanaweza kuwatuliza.
Kwa hali ilivyo, naona Liverpool anakufa leo pia!
Tunashinda hii gameMziki wa Barca mnene sioni tukitoka hapa.
Tunashinda hii game