Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Tumejikuta tunalipa pesa nyingi kutoka na team kadhaa kuweka mpunga mrefu pia, sema tu Dogo na Familia yake waliichagua Real Madrid., bado ni mdogo ila ni matumaini yangu kuwa atakuwa bora hapo baadae
Ule Usajili wa Neymar kama unavyoona wa Haaland., tamaa za Wazazi na wakala wake ndio uliotutoa kwenye mchezo., Barca walitumia pesa sana a baadae Dogo akawasaliti, kama alikuwa na mapenzi mema na club asingeweza kuwafanyia ule uhuni.Sema perez tangu aikose talent ya neymar hataki tena kufanya makosa kama yale.
Sema ni deal nzuri ukimpata kijana akajituma kwa pesa uliyotoa ni bora kuliko ununue striker wa 200 au 100 tena miaka 25+.
Nacho kipenda Madrid sahivi ni kama vile tunaelekea kwenye kizazi kijacho baada ya miaka 3 tutakua na timu ngumu ya ushindani. Kupitia usajili wa vijana
Ninaona kwasasa wamehamia kumpigia chapuo yule CB wa Croatia.,
Jovicevic: Gvardiol will cost 100 million euros, I'd like to see him at Real Madrid
The Shakhtar Donetsk manager believes his compatriot could become the world's most expensive defender
Toni kroos anapiga bunduki linapaaLink ya kuchek game aisee tusaidiane
Saaaf,nan na nan wamefungaView attachment 2463903
Chuma cha 2 hiko halla Madrid japo game ilikuwa ngumu sana
Saaaf,nan na nan wamefunga